HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

Hizo ni gharama za vita uzuri ni kwamba Khan Younis imezingukwa soon nyani atatema bungo maana juzi Kiongozi wao kaomba ceasefire ila Pm kamgomea.
 
HAMAS ni jina tu ila Movement yenyewe ni Ukombozi wa wapalestina.
Unaweza kupiga jina liitwalo HAMAS likapotea ila kesho movement itaendelea kwa jina jingine!
Hamas ni zao la Israel na Marekani. Walitaka kuwagawa wapalestine ili iwatawale vizuri. malengo yao yalikuwa Hamas ipambane na Yasir Arafat ili kuwadhoofisha wapalestine katika kudai ukombozi wao. Leo hii Hamas imewageukia wayahudi wenyewe.
 
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la Jerusalem Post.

source: Hamas causes buildings collapse - 21 IDF soldiers dead, several injured

------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hamas forces on Monday fired a rocket propelled grenade on multiple adjacent structures which, along with landmines which the IDF forces had collected and brought into the buildings, caused a total collapse, which in turn killed 21 soldiers and injured several others.

The incident occurred around 4:00 p.m. in al-Muasi in central Gaza.

In addition, a separate rocket propelled grenade was fired on an IDF tank which killed two IDF soldiers and injured two others.

It was unclear if the soldiers had violated procedures by bringing the landmines into the structures with them and also unclear how much the collapse of the building was caused by the RPG versus the secondary landmines explosions.

The IDF forces who were harmed were mostly reservists assigned to clear certain areas of dangerous items, such as mines.

Rescue activities went on for hours with the brigade commander having been on site from the start of the incident.

It was unclear what happened to the Hamas attackers.

The IDF released the names of 10 soldiers of the 21 that were killed.

Maj.-Gen. (res.) Matan Lazar, 32, from Haifa, a soldier from the IDF's 6261 Battalion, 261's Brigade.

Maj.-Gen. (res.) Hadar Kapeluk, 23, from Moshav Mevo Beitar, and was a Class Commander in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Sgt.-Maj. (res.) Sergey Gontmaher, 37, from Ramat Gan, who was a soldier in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Elkana Yehuda Sfez, 25, from Kiryat Arba, was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Yoval Lopez, 27, from the settlement Alon Shvut in the West Bank, a soldier in the 9206 Battalion, 205th Brigade.

Maj. (res.) Yoav Levi, 29, from the city Yehud-Monoson in central Israel, who was a soldier in Battalion 8208, 261st Brigade.

Maj. (res.) Nicholas Berger, 22, from Jerusalem, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Cydrick Garin, 23, from Tel Aviv-Yafo, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Rafael Elias Mosheyoff, 33, from the town Pardes Hanna-Karkur near Haifa, who was a soldier in the 6261 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Barak Haim Ben Valid, 33, from Rishon Lezion, class commander in Battalion 6261, Brigade 261.
Avha uongo, siyo 21 ni 24.
 
Hizo ni gharama za vita uzuri ni kwamba Khan Younis imezingukwa soon nyani atatema bungo maana juzi Kiongozi wao kaomba ceasefire ila Pm kamgomea.
Zile zile propaganda za kwamba ghaza imegawiwa vipande viwili mmeileta tena mara hii[emoji3]
 
Hamas ni zao la Israel na Marekani. Walitaka kuwagawa wapalestine ili iwatawale vizuri. malengo yao yalikuwa Hamas ipambane na Yasir Arafat ili kuwadhoofisha wapalestine katika kudai ukombozi wao. Leo hii Hamas imewageukia wayahudi wenyewe.
Ila imeshakua ideology sasa.
Ni kama Taleban na mujjahedeen walivyoundwa na USA kupigana na USSR na kuiangusha.
Mwishowe Taleban ikabaki kuwa itikadi kali ambayo imekuja kuwageuka USA wenyewe
 
Hao hizbollah wananikoshaga sana roho.
Na wamesema kama vita itazidi kupamba moto watatumia sophisticated weapons ambazo walizibagua kutumia ili vita isiwe kubwa.
Safi wawatwange tu mazayuni sio yakuyachekea yale
 
Hadithi za Alinacha. Kila dakika Isreal wanauliwa
Hamas hawauliwi sio? Kuna vita isiyokuwa na vifo ? Kikubwa ni kwamba IDF inasonga mbeli walianzia North Gaza wakatembeza kipigo wakaja Gaza City na sasa Khan Younis makao makuu ya hao wajinga wajinga huko ndio kusonha mbele sasa
 
Wenzako wanapunguza idadi ya askari wewe unasema wanasonga mbele.
Hata habari unatizama kweli kijana?
 
Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la Jerusalem Post.

source: Hamas causes buildings collapse - 21 IDF soldiers dead, several injured

------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hamas forces on Monday fired a rocket propelled grenade on multiple adjacent structures which, along with landmines which the IDF forces had collected and brought into the buildings, caused a total collapse, which in turn killed 21 soldiers and injured several others.

The incident occurred around 4:00 p.m. in al-Muasi in central Gaza.

In addition, a separate rocket propelled grenade was fired on an IDF tank which killed two IDF soldiers and injured two others.

It was unclear if the soldiers had violated procedures by bringing the landmines into the structures with them and also unclear how much the collapse of the building was caused by the RPG versus the secondary landmines explosions.

The IDF forces who were harmed were mostly reservists assigned to clear certain areas of dangerous items, such as mines.

Rescue activities went on for hours with the brigade commander having been on site from the start of the incident.

It was unclear what happened to the Hamas attackers.

The IDF released the names of 10 soldiers of the 21 that were killed.

Maj.-Gen. (res.) Matan Lazar, 32, from Haifa, a soldier from the IDF's 6261 Battalion, 261's Brigade.

Maj.-Gen. (res.) Hadar Kapeluk, 23, from Moshav Mevo Beitar, and was a Class Commander in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Sgt.-Maj. (res.) Sergey Gontmaher, 37, from Ramat Gan, who was a soldier in the IDF's 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Elkana Yehuda Sfez, 25, from Kiryat Arba, was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Yoval Lopez, 27, from the settlement Alon Shvut in the West Bank, a soldier in the 9206 Battalion, 205th Brigade.

Maj. (res.) Yoav Levi, 29, from the city Yehud-Monoson in central Israel, who was a soldier in Battalion 8208, 261st Brigade.

Maj. (res.) Nicholas Berger, 22, from Jerusalem, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

Maj. (res.) Cydrick Garin, 23, from Tel Aviv-Yafo, who was a soldier in the 8208 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Rafael Elias Mosheyoff, 33, from the town Pardes Hanna-Karkur near Haifa, who was a soldier in the 6261 Battalion, 261st Brigade.

St.-Sgt. (res.) Barak Haim Ben Valid, 33, from Rishon Lezion, class commander in Battalion 6261, Brigade 261.
Umri wa miaka 23 ameshakuwa Maj. General?
Au wamekosea?🤔
 
Netanyahu kagomea masharti sio rafiki kwake.
Sio rafiki kwa Israel pia na Hamas wameonba ceasefire baada ya kuona wamezungukwa Khan Younis tegeni sikio wiki hii Kuna kitu kikubwa IDF wanaenda kukionyesha kwa Dunia kuwahusu hao wapumbavu.
 
Nani analia lia? Wiki hii wapalestina wangapi wameuwawa? Na Waisrael wangapi wameuwawa? Mind you leo Jumanne. KAZI KUJIPA MOYO TU. Kufikia Jumapili wiki hii jumlisha idadi ya wapalestina na Waisrael ndo utajua muelekeo wa vita huko tunakoenda.
Aisee kumbe ni mashindano? [emoji2955][emoji2955][emoji2955]

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sio rafiki kwa Israel pia na Hamas wameonba ceasefire baada ya kuona wamezungukwa Khan Younis tegeni sikio wiki hii Kuna kitu kikubwa IDF wanaenda kukionyesha kwa Dunia kuwahusu hao wapumbavu.
Hakuna sehem khan younis imezungukwa.
IDF imeshapunguza idadi ya askari Gaza.
Hayo masharti hayakua rafiki kwa Neta pussy cat kwasababu yanasema Hamas ibaki uongozini ndio kitu Neta pussy cat hakitaki.
Khan younis kaa la moto kwa IDF .
 
Wenzako wanapunguza idadi ya askari wewe unasema wanasonga mbele.
Hata habari unatizama kweli kijana?
Nimeshakuambia hakuna vita isiyokuwa na vifo Wala majeruhi huko Russia kwenyewe vifo na majeruhi havikosekana tena yy anapiga kutokea mbali sembuse IDF walioamua kuingia nyumbn kwa magaidi?

IDF wanasonga mbele ndio, Niko naangalia Aljazeera muda huu wanasema Khan Younis ngome kuu ya Hamas imezungukwa na IDF, vita vilianzia Southern Israel watu wakala kichapo wanakimbilia Gaza wanaume wakawafuata huko huko wakaanzia north Gaza wamesafisha wakaja Gaza City msako ukaendelea na sasa watabe wapo Khan Younis southern Gaza kama sio kusonha mbele ni nini?
 
Hakuna sehem khan younis imezungukwa.
IDF imeshapunguza idadi ya askari Gaza.
Hayo masharti hayakua rafiki kwa Neta pussy cat kwasababu yanasema Hamas ibaki uongozini ndio kitu Neta pussy cat hakitaki.
Khan younis kaa la moto kwa IDF .
Tatizo unasubir mpaka uende masjid ukapewe taarifa kuhusu kinachoendelea Gaza, fungua Aljazeera muda huu ujionee mwenyewe usipende kuhadithiwa
 
Back
Top Bottom