Hamisa bado anampenda sana Diamond, hii couple mpya anayoitangaza ni feki

Kwa pale usinihubirie....nishaamua!
amekufanyia nini?
unajua vyema silaha zangu asizoweza mtu kuzikwepa lakini nimeziweka mbali sina mpango kuzitumia, mpuuze hadi ajione mjinga
 
amekufanyia nini?
unajua vyema silaha zangu asizoweza mtu kuzikwepa lakini nimeziweka mbali sina mpango kuzitumia, mpuuze hadi ajione mjinga
Si unajua mateja akili zao bana!

Yaani likishajidunga sindano zake linakuja humu kuhara hara, yaan asione nimekomenti kitu muwasho wa uteja lazima umlete mahali nipo!

Kibaya zaidi mi sinaga time nalo kabisa coz nishaona hii namba ina msongo wa mawazo, afya ya mgogoro, teja so nikawa namuonea huruma tu nikapiga kimya!

Kumbe ohoooo teja akaona namuogopa bana kiburi kikazidi akajiona yy ndo yy humu jf!

Sasa ngoja nishushe mzigo watu wamjue na wajihadhari nae...ovyoo sana yaan eww!
 
hebu njoo
 
Halafu Mwl nimekumiss...
Lakini ukweli unaonesha Hamisa ana maumivu ya Diamond...hapo ana jifariji
 
Jamvi La Wanawake Hili Ngoja Tuone Wanavyoparuana
 
Halafu Mwl nimekumiss...
Lakini ukweli unaonesha Hamisa ana maumivu ya Diamond...hapo ana jifariji
Nipo kbs mdogo wangu. Kiukweli hamisa kama ni kweli hiko kisu ni matata kuliko Mondi mara elfu
 
Hivi weye nimwanmme kweli ? Dar si sehemu nzuri ya kuishi kabisa
 
Suala la kwamba wana date 100% si kweli.

Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
Wangapi walijiuza na wakaolewa bana???? Kwani hamisa amekuwa Malaya sana kuliko ndugu na jamaa zenu wa kike ambao hawayatangazi mahusiano yao mitandaoni km wanavyofanya wasanii??
 
Huwezi kuusemea moyo wa mtu as if unajisemea wewe, kaamua kupost sawa, undani wake hatuujui, awe kaka, awe danga au mpenzi nayo ni maisha yake bana kwan hakuwai kupenda kabla ajakutana na domo eti ndo ashindwe kumove on
 
Afu huwa wepesi sana Kujaji watu mitandaoni, hawa wanaume utafikiri mifano hawana ata kwa Dada zao na hata mama zao wenyewe, suala la kuolewa ni muda tu na Mungu akishakupa hata km walihukumu vipi wanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…