Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
amekufanyia nini?Kwa pale usinihubirie....nishaamua!
unajua vyema silaha zangu asizoweza mtu kuzikwepa lakini nimeziweka mbali sina mpango kuzitumia, mpuuze hadi ajione mjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amekufanyia nini?Kwa pale usinihubirie....nishaamua!
Utamu wa pipi...mate yako
[emoji23][emoji23]Alaaaa...
Si unajua mateja akili zao bana!amekufanyia nini?
unajua vyema silaha zangu asizoweza mtu kuzikwepa lakini nimeziweka mbali sina mpango kuzitumia, mpuuze hadi ajione mjinga
Haaahaaa na kweli aseemate ni kilainishi..utamu uko kwa pipi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
Kama sio choko na hajipulizii unyunyu mpaka miferejini ni msupu...otherwise hakuna kitu bure kabisa!Ila kaka msupu huyu...mhh
hebu njooSi unatujua mateja akili zao bana!
Yaani likishajidunga sindano zake linakuja humu kuhara hara, yaan asione nimekomenti kitu muwasho wa uteja lazima umlete mahali nipo!
Kibaya zaidi mi sinaga time nalo kabisa coz nishaona hii namba ina msongo wa mawazo, afya ya mgogoro, teja so nikawa namuonea huruma tu nikapiga kimya!
Kumbe ohoooo teja akaona namuogopa bana kiburi kikazidi akajiona yy ndo yy humu jf!
Sasa ngoja nishushe mzigo watu wamjue na wajihadhari nae...ovyoo sana yaan eww!
Powazzzzhebu njoo
Halafu Mwl nimekumiss...Khaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?
Cc Asprin
Aiseee Mwl....hahahahahaMwingine wa hivi alionekana mara ya mwisho kwenye vita vya pili vya dunia😀
heeIla kaka msupu huyu...mhh
Eehh
Nipo kbs mdogo wangu. Kiukweli hamisa kama ni kweli hiko kisu ni matata kuliko Mondi mara elfuHalafu Mwl nimekumiss...
Lakini ukweli unaonesha Hamisa ana maumivu ya Diamond...hapo ana jifariji
Wangapi walijiuza na wakaolewa bana???? Kwani hamisa amekuwa Malaya sana kuliko ndugu na jamaa zenu wa kike ambao hawayatangazi mahusiano yao mitandaoni km wanavyofanya wasanii??Suala la kwamba wana date 100% si kweli.
Na kama ni kweli basi anajirahisisha sana kwa wanaume hivyo mpaka anaingia kaburini suala la ndoa atalisikia kwenye bomba.
Wacha maneno humu Jf ikitokea sampuli kama ile nafanya maamuzi magumu walaiHujaniona mimi
Afu huwa wepesi sana Kujaji watu mitandaoni, hawa wanaume utafikiri mifano hawana ata kwa Dada zao na hata mama zao wenyewe, suala la kuolewa ni muda tu na Mungu akishakupa hata km walihukumu vipi wanadamuKhaaaaaa kuna watu mnajua kuhukumu sana as if nyie ni malaika. Eti umshatabiri kabisa kuwa hawez kuolewa. Who are you to determine her fate. Let her live her life to the fullest. Tumeona watu wametembea na wanaume wingi a abiria wa dar express mbili na ya tatu imekula mzinga na kuua wote lkn Bado anaolewa na anatulia kwenye ndoa sembuse hamisa aliyeko kwenye 20+ yrs?
Cc Asprin