Yaani ndivyo ilivyo huyo dada watu wanajipigiaga tu wanabwaga hovyo kichizi, yeye anaona ujanja kumbe kwa mwanamke ni hovyo kichizi unadharauliwaMhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Tangu lini Mali ya boss ikaonjwa 😜Lakini kabla hajakufikia anaonja.
Nilitaka kushangaa kuhusu hili, maana nakumbuka kile kikao cha kwanza Wazee kukaa na watu wa Serikali kuomba pension iongezeke wewe pia ulikuwa mjumbe 🤗Mzee mwenzangu wasikuchanganye hata kidogo, mimi wa 63 hapa nishagonga 61, umri wa kula mafao yangu🤣🤣🤣
Mpaka nmelia mara ya pili, wakati sisi tunashinda kwenye page za CAF na refa kumbe kigogo na Hamisa wao wanaruka acrobaticsIla imeniuma sana, kumbe wakati sisi wanazi wa Yanga tunalala na viatu kwa machungu ya goli la Aziz Ki kukataliwa kumbe Kigogo wetu alikuwa anapeana raha na Hamisa?
Nimelia sana.
😀 😀 😀 😀yani apewe maua kwa kuitembeza k?
tumpe maua kahaba?
no wonder hanganya anafanya atakayo, hii nchi hatupo serious kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
kwaio hamisa kwa sasa hana sehemu za siri, zake ni public....
Asiwe Mangungu tu tasavali🤣🤣🤣Wala sio Muhindi mwaya, siku nikipata baraka za chanzo changu nitaruka nao.
Yani Hamisa nampenda jamani natamani apate wa kutulia nae ila ndio hivyo tena.
Ila kichwa chake kiko vizuri, maisha anayoishi sio madogo na rahisi. Hamisa ndio mwanamke ghali sasa hivi kuliko mastar wote wa kike, amejua na kuweza kujibrand.
Kungwi wako nadoboa kidogo🤣🤣Kungwi unayaweza khaaa.!! 🤣🤣🤣
Mobero yupo kimaslahi buana hataki kugandana na kuzoeana.!!
Mbona wewe umekaa kilughalugha lakini bado nakuelewa🤸Lucas de mwashambwa amekukoleza sana asee. Hivi umempendaje jamaa anavyokaa kilugha lugha?
Nifah unajua Siri? Angekuwa hataki lijulikane asingekuwa anaongozana na Timu as unajua sie wambea tunajua kuconnect dots.....Kwani hili husiano katangaza wapi jamani? Mbona amehojiwa mara nyingi amekataa kabisa?
Hili ni sisi wambea wenye connection ndio tunajua, wanaficha sana.
Hii code ya Jihan imenitoa knock out, Vee ni yule mnaija upande wa pili?Aaah jamani vibaya hivyo! Ina maana hadi Vee na Jihan ndio alikuwa akiwapa hizo?
Mekewewe ni Ke au ME?
Yani tungekuwa tunashindana na akina Rihanna Forbes huko!Nifah unajua Siri? Angekuwa hataki lijulikane asingekuwa anaongozana na Timu as unajua sie wambea tunajua kuconnect dots.....
Ila hizi akili za tafiti za kimbea tungeziwekeza kwenye teknolojia tungekuwq mbaliii......🤣🤣🤣 Sa hivi Shoga angu Nifah ungekuwa CEO wa kampuni ya kutengeneza magari ya umeme afu mie chawa wako.
Ngoja nijichange pengine nami ntaambulia maana hii kitu pia niliwahi kusikia, ufundi ni mwingi hapa 😃Nilijua tu ukija moto utawaka.
Hivi ujue Hamisa amewahi kutoka na bro angu? Anakwambia sio mchezo mambo anayaweza shoga.
Anasema anyday, anytime anatamani kupata one more night naye.
Boss dollars zilivo ngumu kupatikana sasa hivi na hizi info uwekee code si hatari hii 😃Kivipi Mkuu?
Hii ni habari ya kwanza kwangu kuileta kwa code ndio maana nimeifanya nyepesi, next time nitaikaza mtateseka hadi mkome.