Yaani ndivyo ilivyo huyo dada watu wanajipigiaga tu wanabwaga hovyo kichizi, yeye anaona ujanja kumbe kwa mwanamke ni hovyo kichizi unadharauliwaMhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea