Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Yaani ndivyo ilivyo huyo dada watu wanajipigiaga tu wanabwaga hovyo kichizi, yeye anaona ujanja kumbe kwa mwanamke ni hovyo kichizi unadharauliwa
 
yani apewe maua kwa kuitembeza k?
tumpe maua kahaba?

no wonder hanganya anafanya atakayo, hii nchi hatupo serious kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

kwaio hamisa kwa sasa hana sehemu za siri, zake ni public....
😀 😀 😀 😀
 
Wala sio Muhindi mwaya, siku nikipata baraka za chanzo changu nitaruka nao.

Yani Hamisa nampenda jamani natamani apate wa kutulia nae ila ndio hivyo tena.

Ila kichwa chake kiko vizuri, maisha anayoishi sio madogo na rahisi. Hamisa ndio mwanamke ghali sasa hivi kuliko mastar wote wa kike, amejua na kuweza kujibrand.
Asiwe Mangungu tu tasavali🤣🤣🤣
 
Kwani hili husiano katangaza wapi jamani? Mbona amehojiwa mara nyingi amekataa kabisa?

Hili ni sisi wambea wenye connection ndio tunajua, wanaficha sana.
Nifah unajua Siri? Angekuwa hataki lijulikane asingekuwa anaongozana na Timu as unajua sie wambea tunajua kuconnect dots.....

Ila hizi akili za tafiti za kimbea tungeziwekeza kwenye teknolojia tungekuwq mbaliii......🤣🤣🤣 Sa hivi Shoga angu Nifah ungekuwa CEO wa kampuni ya kutengeneza magari ya umeme afu mie chawa wako.
 
Yani tungekuwa tunashindana na akina Rihanna Forbes huko!

Ila ndio hivyo mwaya, hakuna kisichokuwa na faida sisi wambea tafiti zinasema tutaishi maisha marefu na ni watu wenye furaha.
 
Nilijua tu ukija moto utawaka.

Hivi ujue Hamisa amewahi kutoka na bro angu? Anakwambia sio mchezo mambo anayaweza shoga.
Anasema anyday, anytime anatamani kupata one more night naye.
Ngoja nijichange pengine nami ntaambulia maana hii kitu pia niliwahi kusikia, ufundi ni mwingi hapa 😃
 
Back
Top Bottom