Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hatari.....
 
Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🀣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Kungwi unayaweza khaaa.!! 🀣🀣🀣
Mobero yupo kimaslahi buana hataki kugandana na kuzoeana.!!
 
Nimecheka sana Babu, lols.
Kwahiyo katika pisi zake ile ndio uliikubali zaidi?
To be honest, ile pisi enzi zile ilikuwa ya moto balaa πŸ™Œ

Pamoja na kwamba mchagua jembe sio mkulima, ila kusema kweli vipotabo vina nafasi yao Kwa Wazee πŸ€—

Amefanya niwe nairudia kucheza video yake mara nyingi ili niendelee kula Kwa macho πŸ™Œ
 
Babu umeanza lini kupenda vipotabo 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…