Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Angekua hataki kugandana angeenda kwa mganga kutaka dai amuoe....hatujasahau voice note za mganga wa hamisa🤣🤣🤣Eve hutokaa uuone mlango wa mbinguni, nimecheka mno!
Lakini tunajuaje labda ndio lifestyle yake hataki kugandana na mtu?
Endelea ku-maintain Mjukuu, Kuna Siri kubwa kwenye hilo umboNi siri gani hiyo babu? Mkweo ananipa wakati mgumu kwa kunisifu nikiwa kipotabo hadi diet imegeuka sehemu ya maisha yangu!
Kwani Babu na jicho lako hilo hukuwahi kumtia kimiani mrembo mwenye taji lake? Hadi yule Twiga wa 2001 hukumuelewa?Amen Mjukuu 🙏🙏
Alijua kuji-brand ndiyo maana aliweza kudate Wazee wenye hela tu.
Pamoja na kuzeeka kwangu lakini bado jicho langu Lina uwezo wa ku-pick vitu vizuri
Aliyefuta mashindano ya Umisi ametunyima vitu vingi Wazee wenzie 🙌
Mtu Anatoa Dollar 1000 kwa one night Mahari tu ya kiwango hicho sitoiHachomoki.
Muacheni bwana Misa nampendaaaaa! Nyie ngojeni siku aolewe mtatukoma.Angekua hataki kugandana angeenda kwa mganga kutaka dai amuoe....hatujasahau voice note za mganga wa hamisa🤣🤣🤣
Swali la ukorofi hilo Mjukuu 🤗, nikisema ukweli tu, kesho mtasikia nimepewa talaka na Bibi yenu hata kama tukio nilifanya Mwaka 47 😜Kwani Babu na jicho lako hilo hukuwahi kumtia kimiani mrembo mwenye taji lake? Hadi yule Twiga wa 2001 hukumuelewa?
Wewe tena ukipenda mtu huambiliki🤣🤣🤣🤣 ataolewa ila kwa tabu mnooo. Mtu wa kumuoa ilikua ni majizo kama nae alimuacha basi tena ....Muacheni bwana Misa nampendaaaaa! Nyie ngojeni siku aolewe mtatukoma.
Misa wetu ni pisi kali, bado mbichi wala hatuwazi.
amekwisha, pm yako iko wazi bi shosti maana utatakiwa kwa kazi maalamu, 200usd ipo kwa ajili yako, ephen_ nn kikuchekeshacho?Hachomoki.
Babu isijekuwa ni Basila huyo jamani! Maana alijua kuwaweka mikononi wazee wetu.Swali la ukorofi hilo Mjukuu 🤗, nikisema ukweli tu, kesho mtasikia nimepewa talaka na Bibi yenu hata kama tukio nilifanya Mwaka 47 😜
Yaani anasahau kuwa mavi ya kale hayanuki 🙌
Yani mimi jamani nikipenda huwa nazamisha kichwa kwenye mchanga kama mbuni sisikii la mtu!Wewe tena ukipenda mtu huambiliki🤣🤣🤣🤣 ataolewa ila kwa tabu mnooo. Mtu wa kumuoa ilikua ni majizo kama nae alimuacha basi tena ....
Jizo yupo zake na mapenzi yake ya ladies and gentlemenYani mimi jamani nikipenda huwa nazamisha kichwa kwenye mchanga kama mbuni sisikii la mtu!
Ila Majizzo alimkosa mwenyewe kwa ujinga wake wa utoto, akamuona mshamba akamdharau akatoka na akina Petii Jizzo aliumia mno.
Unaambiwa mpaka leo Jizzo hajapona kidonda cha Hamisa, anampenda sana. (Umbea huu jamani)
😂😂hapana aisehUlikuwa na crush naye? 🙃🤣