Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Misiba ya kiislamu haina mbwembwe.
Wacha kuficha ujinga kwa kivuli cha dini kama hakuna mbwembwe hizo picha za nini?sense ya kawaida tu kwa status ya huyo bwana na kinachoonekana hapo ni aibu bora wasingepiga hizo pic's.
 
Tafadhali jmn
Ifike mahala penye fundisho tuchukue
Mfiwa kwa maisha yake ya mitandaoni ungetegemea hapo ni kwake?../kwao

nyumba ina thamani kubwa sana ktk kusitiri utu/uwezo/maisha ya familia ndo mana watu wanashoboka nazo
 
wengi mnaojenga kijijini,mnajenga ku maintain status ni kama pride Fulani,wala hakuna linguine linalowasukuma kufanya hivyo..which is sad...pride wengine sio tu pride hawana bali pia sio priority....

Maendeleo kijijini tafuta kwa nini hamna.
Sio pride tu dada likizo mtafikia wapi?inabidi kujibana muweke kitu
 
mnhhhh umezaliwa, umekulia pale..leo hujui pa kupumzikia?? khaa
Ndo maana nikakuuliza nikitaka kupumzika nikapumzike wapi?

Mf;mimi naishi Dar,kwetu Kilimanjaro unataka nikitaka kupumzika niende lodge Masaki au Hotel Zanzibar/Dubai nikapumzike huko?ni wakati gani nitakutana na niliopotezana nao,nitajuaje mapungufu ya nilikotoka kama sikwenda kupaona?utulivu,hewa safi ni wapi nitakula vitu vizuri vya asili kama sijarudi kijijini?

Jiulize sikujenga kule hayo yote nitayafanya kwa style gani?kumbuka ni aibu mtu unajulikana unatafuta pesa kisha uende kwenu ukamgongee ndugu yako akukaribishe pa kulala wakati wewe sehemu ya kujenga hukunyimwa unayo!wewe unaona sawa kutokana na may be umetokana na jamii isiyojali kwao na umeolewa na jamii isiyojali kwao vile vile so unaona maisha yenu ni ya mjini tu ndo maana sijakulaumu kwa hilo.
 
wengi mnaojenga kijijini,mnajenga ku maintain status ni kama pride Fulani,wala hakuna linguine linalowasukuma kufanya hivyo..which is sad...pride wengine sio tu pride hawana bali pia sio priority....

Maendeleo kijijini tafuta kwa nini hamna.
Anyway, tutabishana bure kuhusu hichi.. mwisho wa siku ni mtazamo wa mtu binafsi.

Mimi naona kuwa na nyumba nzuri kijijini ni jambo zuri.

Wewe unaona ni suala lisilo la ulazima.

Sioni kama kuna tatizo kila mtu kuwa na mtazamo wake
 
Sio pride tu dada likizo mtafikia wapi?inabidi kujibana muweke kitu

likizo tutafikia hapo hapo nilipokulia, tena nikiwa na watoto ndio kabisaa nawaonyesha unaona?? hapa ndipo nilipokua nalala...wa feel the taste ...labda for other reasons wazazi/afya zao n.k ila wengi hamna sababu Zaidi ya pride...
 
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri,hata kuweka curtains tu kumemshinda ?Kashindwa kuendeleza kwao ndo huyu anataka ubunge ????Au anataka ubunge ili anufaike ?Aibu hii.Maisha ya social media bwana........
Muwe mnatupostia na picha za kwenu pia ili muweze kueleweka kwa urahisi. Msije mkawa mnaponda wengine kumbe kwenu ndio dhoofu zaidi.
 
Uliyosema ni kweli ila hapa bongo nyumba ni kitu muhimu sana.
 
Anyway, tutabishana bure kuhusu hichi.. mwisho wa siku ni mtazamo wa mtu binafsi.

Mimi naona kuwa na nyumba nzuri kijijini ni jambo zuri.

Wewe unaona ni suala lisilo la ulazima.

Sioni kama kuna tatizo kila mtu kuwa na mtazamo wake

Ukitaka kuwa na maisha ya amani then kuwa na principle moja,usingiliwe choices/maamuzi yako na wewe usiingilie za wengine...nimekubali kila mtu na mtazamo wake....tumuache babu tale..labda alikua na priorities nyingine..ni maisha yake...whether he was faking it or not...
 
Babu Tale nimjinga sana ,Anamtukana Fid q kumbe na yeye chostiki


Watu wenye pesa za ukweli niwanasiasa tu.km Mbowe , Magufuli , Ndugai. Sugu
 
Kweli lakini, hapa unaweza kuta tunashangaa Tale kuwa na hiyo nyumba lakin hata yeye wala hafikirii chochote maana ana vipaumbele vyake kwenye maisha.
 

...hio hewa safi unayoitaka sasa hivi,haikuwepo kabla???..nenda kapumzike unakotaka..ila kujenga inabaki choice ya mtu na uwezo wake,sio kanuni/formular kila mtu aifate….ningewaelewa kama mko concerned na familia zenu mlizoziacha kule….ila mko concerned na 'hewa' safi as if waliojenga wana hewa nyingine special???!!!
 
Miaka yote humu jf huwa naona picha hizo hizo, siku hizi watu hawajengi tena nyumba mpya au viwanja vya kujenga vimeisha ?
Nenda bukoba vijijin au huko muleba ndo utaelewa. Ukishindwa leta za vijiji vyako .



Bukoba vijijin nyumba mbovu zinazidi kuisha kama sio kupotea kabisa Kwa baadhi ya vijiji.




 
likizo tutafikia hapo hapo nilipokulia, tena nikiwa na watoto ndio kabisaa nawaonyesha unaona?? hapa ndipo nilipokua nalala...wa feel the taste ...labda for other reasons wazazi/afya zao n.k ila wengi hamna sababu Zaidi ya pride...
Sio kweli
Baadhi ya nyumba hazina uimara kukulia miaka ya 50 na leo tuwapeleke wajukuu wakaishi humo na ziwe imara

pia size..familia ishakua kubwa hapatoshi..walikaa say watoto 12...sasa wote wamekuwa wakubwa wameoa na wana watoto kuanzia wawili kila mtu
Mtatosha?
main house inabaki ila ili kukidhi mahitaji ya wakwe na wajukuu ndo inalazimika kuongeza nyumba zingine...purely basic need ya 'shelter'
 
Jitahidi na wewe ujenge then uweke mitandaoni nyumba yako, kupost nyumba za wanaume wengine hakukusaidii
Nani kakwambia Mimi sina nyumba kijijin kwetu? [emoji23][emoji23]

Hapa jf hatufahamiani kiuhalisia.

Nitafe inbox nikuonyeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…