Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Ungeweka ka-picha ka msichana ingependeza sana
 
We Messi unakuwa nae kila alipo!?..alipokua akiwatukana mashabiki wa timu pinzani baada ya kufunga kwamba wao makma na mama zao malaya ulikua tayari ushaanza kuangalia mpira!?

Kumbe yeye kumzungumzia Messi kama mfano ni lazima awe nae kila alipo?

Kwani we umetembea na kuishi nao wote walichora tattoo? Najua hujaishi nao wote, sasa ni nini kimekupa nguvu za ku-generalize kuwa wote wana tabia mbaya??
 
Kumbe yeye kumzungumzia Messi kama mfano ni lazima awe nae kila alipo?

Kwani we umetembea na kuishi nao wote walichora tattoo? Najua hujaishi nao wote, sasa ni nini kimekupa nguvu za ku-generalize kuwa wote wana tabia mbaya??
Hakuna mtu aliyenyooka atachora tatuu,akatolea mfano Messi,nimeeleza hapo dalili za Messi kuwa walewale
 
Nilihairisha kupeleka proposal ya kumuoa mtu kisa alikuwa na tattoo ya kipepeo juu ya kiuno kwenye kalio. Mpaka leo ananitukanaga tuu kwenye social media kisa sikumuoa.
 
Watu wana primitive minds kiwango ambacho unabaki kushangaa tu, reference zenyewe wanatumia za vitabu ambavyo vimetoka kwa haohao wachora tattoos.

Aiseeeeh[emoji23]
Mkuu, wabongo ni wajinga wanajifanya watakatifu wa Dini kuliko hata wazungu walio waletea Dini zenyewe....

Mtu anapinga tattoo kwa imani yake ya kidini anafikiri kila mtu yupo sawa na imani yake..

Kuna wabongo wana Akili za enzi ya Ujima...Mtu anataka kuhalalisha mawazo yake yawe ya jamii nzima kutokana na Hofu za imani yake.....
 
Lionel Messi curses at Valencia fans-utakuta kamimina mitusi ya nguoni
Ndo nakuuliza sasa kutukana matusi ya nguoni kunaletwa na tattoo?

Ujinga na upuuzi wote hapa duniani unaletwa na wenye tattoo? Yani nataka useme hapa tattoo unahusikaje na uzuri au ubaya wa tabia ya mtu, maana yote hayo unayotaja kila bunadamu huyafanya, hata wewe hapo unatusi watu na kufanya madhambi mengine.
 
Kwann usianzishe kanisa mkuu embu fanya hima

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Naona ushuhuda huu upelekww kwa Bab askofu gwajima

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwanamke nilikuwa nakapenda kanauza bar hapo dagaadagaa kibo ,siku moja akanibless tunda lake Kweli ilikuwa ashb HV saa tano HV bas nikakavua nguo kumcheki vzr tokea takoni Hadi juu kachora tatoo ya nyokaa kichwa kinatokea kwenye shingo kwa juu aisee nilishindwa kumchakata pmj na kwamba aliniblesss jicho lake ila niluogopa Sana niliona nalal na joka mkp leo hi yule demu Ana amani na mm niliona kbsa Happ Kuna mirohoo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…