Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Chale na tattoo wapi na wapi.mada nzuri umeitia doa.nyamaume.
 

mwanamke akichora tatoo sehemu yoyote ya mwili wake atahakikisha watu lazma waione....hapo ndo shida inapoanzia.
 
Vilitabiriwa vitakuja na sasa vimekuja mwashangaa nini sasa
 
Umenena vyema
 
Kuna watu wajinga sana, yahani wanaona hawawezi kuonekana ma super stars kama hawajajichora matatuu. Mimi huu uigaji wa mambo ya kijinga ulinishinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…