Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Messi anajitambuaMbona Messi ana tatoo kibao tu
HUyo tumiweke pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi anajitambuaMbona Messi ana tatoo kibao tu
Ninasubiri ili niunganishe dots zanguKuna kisa nitakuja kukisimulia hapa siku moja
Isiingiliwe na vitu za ajabu?😅No no nooo....aisee....naipenda papuchi yangu kiukweli...
KabisaIsiingiliwe na vitu za ajabu?😅
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ashaitwa babu yanii ila matendo yake kama teenager[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
AminaAsante sana BujiBuji kwa kutuhabarisha, yaani umutoa ya kweli kutoka moyoni. Ubarikiwe kwa kuona yale ya Mungu.
Nakumbuka tukitizama TBC vurugu za watu katika bunge la Marekani, yaani karibu kila mmoja wao alikuwa na Tatoo. Mawazoni nafikiria hawa Jamaa ni watetea haki!
Kuna makundi ya wanaojiita watetea haki, kuna wacheza Sinem, kuna wale waliomo fesbuk insta tiki toku ambao shughuli zao nyingi ni za kuwashauri watu, kuwa entateini watu n.k
Swideni, Ujerumani, Marekani, Uingereza ni baadhi ya nchi nyingi hapa duniani ambazo zina Watu katika vikosi vya Majeshi ambao wanavaa, kuchora tatoo....Yesu, misalaba, maua, magari, wanawe ,biblia, bikira maria, tembo, farasi, swasitika, fuvu, upanga, nyoka mbwa, nguruwe yaani naweza jaza bandikio hili kuandika nayayaona!
Nilifikiri wale Jamaa kweli ni watetezi wa Haki, Watetezi wa Demokrasia, kama ilivyokuwa kawaida ya watu hawa Wazungu! Jamaa ni wacha mungu, unaweza kuwaonea wivu kwa mambo yao wanayofanya, unaweza sema 'Haaa, lazima mungu anaishi nao, wamejaliwa kila kitu, Akili hawasemi uongo, hawaibi yaani mambo mambo yanayodhaniwa ni laana wao hawana 'heeee kuumbe!'
Asante sana kutuhabarisha kuhusu maana ya Kuwa na tatoo. Yaani iwe fundisho kwa wale Wote Duniani wenye matatuu.
Upewe tuzo Bujibuji kwa kuokoa Jamii Yako. Hata ubunge wa Hai. Moshi
Unamuona wa maana kisa anajua mpira!?..wachezaji wengi wa hovyo, Rooney alimgonga mdangaji mmoja hivi,aksmuhadithia evra,evra akaenda kugonga ili athibitishe Kama kweli yule dada wa kizungu ana mauno,akamwacha dada anahuzunika kamlipa paindi mia tatu wakati wenzake waliotoa buku na kuendeleaMpaka Messi ni wa hovyo?
Daah[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Ashaitwa babu yanii ila matendo yake kama teenager
Hapo alipo ni over 45 ila ni homeless
Kwahio tattoo imetoka ndio ikakufanya ukae sawa??Bro, mimi baada ya kumaliza form four, enzi zile likizo ya Mkapa, nikachora tatoo, kabla ya hapo nilikuwa mtoto mzuri kabisa, ila baada ya matatoo,
Nikajikuta sitaki tena kushiriki ibada, nikawa kampani yangu masela, nilianza kujifunza sigara, kisha nikarukia kwenye bangi, baadae nikapotea kabisa.
Mwenendo wangu ukapotea na sikuweza kuendelea tena na masomo.
Baada ya miaka mingi kupita ndio nimeweza kurudi kwenye mstari, baada ya mateso makubwa na kupita the most difficult and hard way
Nakubal mshana utanitagKuna kisa nitakuja kukisimulia hapa siku moja
Kweli kabisa kwakweli inashangaza sanaNa anaweza kukunyima pia,
Haya mambo ya ngono hayana guarantee
Ujawahi kuona una hela yako bado kahaba anakukataa[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app