Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

Asante sana BujiBuji kwa kutuhabarisha, yaani umutoa ya kweli kutoka moyoni. Ubarikiwe kwa kuona yale ya Mungu.

Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.

Nakumbuka tukitizama TBC vurugu za watu katika bunge la Marekani, yaani karibu kila mmoja wao alikuwa na Tatoo. Mawazoni nafikiria hawa Jamaa ni watetea haki!

Kuna makundi ya wanaojiita watetea haki, kuna wacheza Sinem, kuna wale waliomo fesbuk insta tiki toku ambao shughuli zao nyingi ni za kuwashauri watu, kuwa entateini watu n.k
Swideni, Ujerumani, Marekani, Uingereza ni baadhi ya nchi nyingi hapa duniani ambazo zina Watu katika vikosi vya Majeshi ambao wanavaa, kuchora tatoo....Yesu, misalaba, maua, magari, wanawe ,biblia, bikira maria, tembo, farasi, swasitika, fuvu, upanga, nyoka mbwa, nguruwe yaani naweza jaza bandikio hili kuandika nayayaona!

Nilifikiri wale Jamaa kweli ni watetezi wa Haki, Watetezi wa Demokrasia, kama ilivyokuwa kawaida ya watu hawa Wazungu! Jamaa ni wacha mungu, unaweza kuwaonea wivu kwa mambo yao wanayofanya, unaweza sema 'Haaa, lazima mungu anaishi nao, wamejaliwa kila kitu, Akili hawasemi uongo, hawaibi yaani mambo mambo yanayodhaniwa ni laana wao hawana 'heeee kuumbe!'

Asante sana kutuhabarisha kuhusu maana ya Kuwa na tatoo. Yaani iwe fundisho kwa wale Wote Duniani wenye matatuu.
Upewe tuzo Bujibuji kwa kuokoa Jamii Yako. Hata ubunge wa Hai. Moshi
 
Amina
 
Mpaka Messi ni wa hovyo?
Unamuona wa maana kisa anajua mpira!?..wachezaji wengi wa hovyo, Rooney alimgonga mdangaji mmoja hivi,aksmuhadithia evra,evra akaenda kugonga ili athibitishe Kama kweli yule dada wa kizungu ana mauno,akamwacha dada anahuzunika kamlipa paindi mia tatu wakati wenzake waliotoa buku na kuendelea
 
Bro, mimi baada ya kumaliza form four, enzi zile likizo ya Mkapa, nikachora tatoo, kabla ya hapo nilikuwa mtoto mzuri kabisa, ila baada ya matatoo,

Nikajikuta sitaki tena kushiriki ibada, nikawa kampani yangu masela, nilianza kujifunza sigara, kisha nikarukia kwenye bangi, baadae nikapotea kabisa.

Mwenendo wangu ukapotea na sikuweza kuendelea tena na masomo.

Baada ya miaka mingi kupita ndio nimeweza kurudi kwenye mstari, baada ya mateso makubwa na kupita the most difficult and hard way
Kwahio tattoo imetoka ndio ikakufanya ukae sawa??
 
Back
Top Bottom