SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Numbers 12:1Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbers 12:1Amina
Wewe hayo ni matatizo yako binafsi na kilichokukuta wewe hakiwezi kwa standard unit kwa wote waliochora tatoo, haya Messi baada ya kuchora tattoo alikuwa mtoto mbaya kama wewe?Bro, mimi baada ya kumaliza form four, enzi zile likizo ya Mkapa, nikachora tatoo, kabla ya hapo nilikuwa mtoto mzuri kabisa, ila baada ya matatoo,
Nikajikuta sitaki tena kushiriki ibada, nikawa kampani yangu masela, nilianza kujifunza sigara, kisha nikarukia kwenye bangi, baadae nikapotea kabisa.
Mwenendo wangu ukapotea na sikuweza kuendelea tena na masomo.
Baada ya miaka mingi kupita ndio nimeweza kurudi kwenye mstari, baada ya mateso makubwa na kupita the most difficult and hard way
Hivi hizi ngano huwa mnatoa wapi?[emoji23]Hii comment yako ni ushahidi tosha kuwa mambo mengi ya ulimwengu wa roho, huyajui, Hata nguvu ulizo nazo kuna uwezekano ukawa huzijui. Michoro mwilini ni hatari kwako, kwani sio ubunifu wa kimbingu but from the devil himself. Ukichora unaweka bikoni mwilini (unakuwa lango la kuingilia). Wala hawapati shida
Nani kaisema hiyo kanuni? Basi huyo anaetoa hizo adhabu si mtenda haki, kivipi tattoo achore Messi kisha adhabu kipewe kizazi chake?Fuatilia mwisho wao, utapata majibu, Anaweza asiadhibiwe yeye, ukapigwa uzao wake, ni kanuni ndivyo inavyosema
Watu wana primitive minds kiwango ambacho unabaki kushangaa tu, reference zenyewe wanatumia za vitabu ambavyo vimetoka kwa haohao wachora tattoos.Afrika imechelewa kuendelea,
Kila kitu ni kipya kwetu acha twende taratibu tutakuja kujua ulimwengu ukoje na sie tunauchukuliaje baadae tutaenda nao sawa,
Ni suala la muda tu.
Hakuna wasio na tattoo wenye tabia mbaya over mbwa?Kweli kabisa
Kuna kaka pia namjua ana tattoo asee ana tabia mbaya over mbwa [emoji240]
Inategemea kujiunga na jeshi la nchi gani??, zipo nchi nyingi zinazokubali watu kujuinga hata kama wana tattoos visible kabisa.Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo?
mzee wanguKuna kisa nitakuja kukisimulia hapa siku moja
Watu wana mindset za kijinga sana mkuu, yani eti kwakua jeshi lao haliruhusu tattoo basi tayari wameichukua kama universal point, Nchi nyingi tu zinaruhusu wanajeshi wao kuwa na tattoo bila shida kabisa, hebu waulize kama hayo majeshi yanayoruhusu tattoo wanayazidi kwa chochote uone majibu yao[emoji23]Tattoos hazina nguvu yyte , wala haibadilishi tabia ya mtu. Ni watu tu na tabia zao hap walioamuwa kujichora...,
hata kabla ya kujichora wanajikuta wanatamani Lifestyles flani...!
Ukipenda tabia za kihuni itaiga au kuwa influenced kwenye kila kitu..
Kweli kabisaWatu wana mindset za kijinga sana mkuu, yani eti kwakua jeshi lao haliruhusu tattoo basi tayari wameichukua kama universal point, Nchi nyingi tu zinaruhusu wanajeshi wao kuwa na tattoo bila shida kabisa, hebu waulize kama hayo majeshi yanayoruhusu tattoo wanayazidi kwa chochote uone majibu yao[emoji23]
Kama hawayazidi hayo majeshi kwa chochote , inakuwaje tattoo inakuwa chanzo cha udhaifu kama alivyosema hapo juu?
Ukiwaambia walete ushahidi wa wanayosema, wote wanakuja na maandiko ya vitabu ambavyo waliletewa na haohao waanzilishi wa hayo ma-tattoo, unabaki kushangaa tu.
Wamaasai kila leo wanajitia tattoos (chata) kwenye miili yao, hebu waulize wamewazidi nini cha msingi zaidi ya mapresha, visukari na stroke huku mijini??
Tabia ya mtu haiwezi kubadilika baada ya kuchora tattoo, inaonekana hivyo kwasababu wahuni wengi ndo huwa na matamanio ya kuchora. Namaanisha wahuni wengi ndo huzifuata tattoo, ndiomaana kuna watu pia ambao ni wastaarabu na wenye mafanikio licha ya kuwa na tattoo.
Nawajua wana vitengo kadhaa tena PSU na wanazo na issue zao ni ganja tu hata pombe hawatumii na suti mnawaona..[emoji23][emoji23] ni urembo tu kama kupaka piko kwa madem!Kwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.
Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.
Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.
Law 19:28 SUV
Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
Ukatubu Kama unaoNilikua sijui kama Biblia imekataza tattoo hili andiko sijawahi kusoma Asante Kwa kushare
Kwani yeye ni nani?Mpaka Messi ni wa hovyo?
Hizo imani ziko africa, kwa wenzetu kumkuta soja ana tattoo ni kawaidaKwanini huwezi kujiunga na majeshi kama una tatoo? Kwanini huwezi kujiunga na upadre au uchungaji kama una tatoo?
Tatoo zinavuta nguvu hasi (negative energy) yaani hata kama ulikuwa mwema sana kabla hujachora, ukichora utajikuta tu unapata hamu ya kufanya mambo mabaya.
Mabinti wengi wenye tatoo hawaithamini tena miili yao, ndio maana wako tayari kufanywa popote ili mradi tu wapate pesa.
Wengi baada ya kuchora tatoo wakajikuta wana hamu ya bangi, sigara na madawa ya kulevya.
Hata Mungu mwenyewe ndio maana alikataza kuchora tatoos.
Law 19:28 SUV
Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA