Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.

Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi.
Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga romance sana labda nianze mimi na mda wote ni kama gogo.

1 : kuna muda nachepuka na vimichepuko vyangu. Nikitoka kwa mchepuko huwa sina hamu kabisa na huyu main chick hata anitomase namuona katuni tu

2: Nina huyo mchepuko mwingine hata kama nimetoka kupiga bao 3 kwa main chick au mchepuko 1, aisee akivua tu mimi mnara na ntapiga hata bao za kuunganisha. Yaani wazungu wakitoka dakika moja haipiti mnara uko hewani.

3. Kuna baadhi ya wanawake nilikutana nao nikaishia bao moja tu yaani alivyo alivyo haupati kabisa mzuka wa kumla, hilo bao moja lenyewe unajilazimisha kwa vile ushaweka mashine.

MY TAKE: NGUVU ZA KIUME NI PROPAGANDA ZA KUIBIA WATU HELA, TAFUTA ANAEKUAMSHA MASHETANI.
 
Unasikia watu eti "no reform no election" kwa akili hizi za ngono kweli CCM itashindwa kutawala.
 
Mimi nilikuwa na Hiyo shida.
Niliugua sana Tumbo na kitovu nikiwa mdogo, Nadhani nilipata shida ya Hernia na kongosho Urcers nikiwa mtu mzimaa.
Haya magonjwa yalinikata sana uanaume

Baada ya kukua sikuwa na Uwezo kabisa wa kumkojolesha na kumliza mwanamke yani nilikuwa Dakika moja na Goli langu moja tu.
Nilipogundua ni tatizo nikaanza kutafuta dawa.

Baada ya Kupata Dawa ya Maana sana nakunywa kwenye Supu na Damu.
Mashine Ilikuwa inasimama Kama Mche
Ikawa Kubwa sana
Nikaanza kuwa na Hamu sana ya kukutana na Opposite sex.

Nilipokutana na manzi yangu Baada ya Mwezi alilia sana.
Akaanza Kukimbia Show.
Hakuna mwanamke anayeweza Kivumilia goli Zangu mbili.

Asante Mungu kwa kuumba miti.
Hakika miti ni Dawa.
Tusidharau miti shamba.
 
Back
Top Bottom