Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu.
Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah,
Point zangu ziko hivi.
Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga romance sana labda nianze mimi na mda wote ni kama gogo.
1 : kuna muda nachepuka na vimichepuko vyangu. Nikitoka kwa mchepuko huwa sina hamu kabisa na huyu main chick hata anitomase namuona katuni tu
2: Nina huyo mchepuko mwingine hata kama nimetoka kupiga bao 3 kwa main chick au mchepuko 1, aisee akivua tu mimi mnara na ntapiga hata bao za kuunganisha. Yaani wazungu wakitoka dakika moja haipiti mnara uko hewani.
3. Kuna baadhi ya wanawake nilikutana nao nikaishia bao moja tu yaani alivyo alivyo haupati kabisa mzuka wa kumla, hilo bao moja lenyewe unajilazimisha kwa vile ushaweka mashine.
MY TAKE: NGUVU ZA KIUME NI PROPAGANDA ZA KUIBIA WATU HELA, TAFUTA ANAEKUAMSHA MASHETANI.