Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

Nani kakudanganya pombe haina madhara wewe mfia dini?

Kisukari, kuugua ini hakutokani na pombe [emoji848][emoji28]
Kama umesoma organic chemistry, alcohol (pombe) ni organic compound yenye attachment ya hydroxyl group (OH), tatizo lenu mkisikia pombe akili yenu inawaza Kilimanjaro, safari etc. Kumbe hata dawa za usingizi, ganzi etc ni pombe, hata sanitizer ni pombe pia
 
Binafsi sidhani kama ntakuja kuabudu mizimu, ila kwangu mm haiingii akilini, mwafrika anamuhubiria mwafrika mwenzake mambo negative kuhusu mababu zetu, halafu mababu wa wasrael ndo"mpango mzima" hata majina tunakatazwa tusichukue ya mababu (IL tuwaenzi) na sidhani kama unaweza ukabatizwa na hayo majina mf kingunge, mbawara etc ila majina magumumagumu ya kigiriki sijui aristocrats etc au majina ya kizungu unabatizwa fresh tu
 
Mkuu ,hapo kwenye kuwekeza hazina mbinguni, sielewi, je mtu baada ya kifo anafaidikaje na hiyo hazina. Mana yake tunaambiwa toa sadaka au mjaribu Mungu Kwa sadaka ujiwekee hadhina mbinguni, je, muhusika akienda motoni, au akienda mbinguni hiyo sadaka (hadhina) atarudishiwa au??
 
Shetani au mashetani ni nani mkuu??
 
Hapo kwa kweli sina Sana utaalamu wa mambo ya insurances!kwani insurance za Dunia hii huwa inakuwaje?Je usipopata ajali huwa inarudishwa??kama hutojali ni hazina,sio hadhina
 
Vp kuhusu wanaume wenye sura na muonekano mbovu, vp kuhusu walemavu. Je watakuwa mahandsomeboy, six parks etc?
 
Masuala ya dini na mambo ya mababu sijui asili yetu ni vitu tofauti, imani zipo kwenye kila jamii na mababu zetu walikuwa na imani zao katika kipindi chao kitu ambacho hata hao waliyotuletea huku dini nao walikuwa na mababu zao na walikuwa na imani zao before hizi dini. Sasa huwezi kuniambia nifuate imani fulani kisa tu ni za mababu zetu kwamba ni asili yetu.

Ni sawa na kutaka kuaminishana kila walichokuwa wanafanya hao wazee wetu ndio sahihi, kwa hali hiyo basi hata hizi nguo tunazovaa leo tusingevaa tungetumia mavazi waliyokuwa wakitumia hao wazee wetu.
 
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya muislam na mwarabu.Si kila mwarabu ni muislamu na si kila muislamu ni mwarabu,elewa hilo
 
Kutumia akili ipi?,wote ni ujinga tu,unaaminishwa ujilipue uue watu kwa vile ukifa utaenda kupewa mabikra 70!! Hizi ni akili au matope.
 
Ujuaji mwingi mbele giza

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Huo moto uliuona..au ni story tu za wanadamu ili kutisha wanadamu wenzao wasiache kusali kwenye dini za kuletewa..kimsingi dini zote hizi zimejengwa kwenye vitisho na kugeuza watu mazuzu..hakuna dini ya mungu wala nini..ni ujinga na hofu za kifo tu ndivyo vinawafanya muwe attached na hizo imani za kidini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another brainwashed creature..mtumwa wa kiakili..bure wa head.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wako ndo ulokufikisha hapo sikulaumu
 
Umeandika upupu..nenda kwa wahindi..nenda kwa wachina..wanaabudu dini zao asili..sio hizi za masharik ya kati.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sidhani kama uko sahihi....labda ni kuulize ni wapi waumini wa dini hiyo wanampambania Mungu?... KORAN takatifu ni kitabu ambacho kina elimu pana sana na nzuri ukikisoma kwa kutulia, jaribu kujipa muda ukisome hata kama si muislamu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…