Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
msikilize Hamza ndio utajua.Wamefanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msikilize Hamza ndio utajua.Wamefanyaje
Unaambiwa familia inamiliki migodi ya dhahabu atakosa silaha ya kujilinda?Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Utaambiwa alijifunzia YouTube.Vipi kuhusu shabaha mkuu alijifunzia palepela salender
Niliwahi kusoma habari ya kijana mmoja kutokea nchi za ulaya alikuwa akieleza jinsi alivyotaka kuangukia kwejiunga na vikundi vya ugaidi. Ila sifa mojawapo niliyoiona Ni kuwa wanakuwaga wapole Sana kwenye jamii lakini myoyoni mwao Ni hatari zimejaa.Hapa ndio pa kufanyia uchunguzi hizo likizo akienda huko nje alikuwa anaenda wapi na kufanya nini.
Hii agenda ya kusikiliza majirani eti marehemu alikuwa mstaarabu mara mpole mara mto misaada hizo waweke pembeni kwanza
Asante sana umenielewa nachouliza hapa.Hamza alikua na extensive knowledge and skills za kutumia hizo military style ruffles.
Ukiangalia jinsi alvyokua anazishikilia, anazitumia, yule ana mafunzo ya juu yautumiaji wa siraha, hasa defensive and offensive firing techniques, tena advanced, military style.
Angalia alipokua kwenye kale kakibanda pale ubalozini anarushiana na yule jamaa risasi. Alikua anapiga risasi comfortably kabisa.
Kutumia siraha kubwa lazima uwe na mafunzo.
Ndo muache kuonea raia,wapo wengi tu mtaani ni muda tu ukiingia kwenye anga zetu mbona utasema komando wa Amazon huyoooo.Ukiangalia ule utumiaji wa silaha na jinsi alivyoishikia pale begani na namna alivyokuwa ana piga na kujilinda kama unajua au uliwahi pitia huko yule jamaa anaonekana ni mtaalam kweli kweli.
Na silaha kama silaha kama hujawahi jifunza kuitumia, risasi moja ukipiga silaha inakupeleka/kukuvuta eidha kulia au kushoto wakati mwingine inakuangusha au kuchoropoka mikononi, lakini Hamza kwa utaalaam wa ushikaji tena madhubuti utembeaji na upigaji kwa kweli yule alikuwa sio mwalimu tuu ni sniper kabisa Je? Atakuwa haya mafunzo alijifunzia /kufundishiwa wapi?
Ahaa basi polisi wetu waanzie hapa huko alikoenda kusoma ilikuwa kusomea nini baada ya dini au laaHujasikia kuwa aliwahi kwenda masomoni nchi mojawapo ya kiarabu. Wazazi wachunguze watoto wao huko nje wawe wamewapeleka wenyewe au wamepelekwa kwenye taasisi zinazojifanya ni za kidini
Na wkt mnachunguza alipatia wapi mafunzo mchunguze pia mlifanya Nini mpk akaamua ku deal na police tu,asiguse hata raia mmoja.Hapa ndio pa kufanyia uchunguzi hizo likizo akienda huko nje alikuwa anaenda wapi na kufanya nini.
Hii agenda ya kusikiliza majirani eti marehemu alikuwa mstaarabu mara mpole mara mto misaada hizo waweke pembeni kwanza
Unamaanisha hivi?Kwa wasomali kutumia SMG au AK 47 ni kama wachaga wanavyotumia mbege tu , hata kwa harusi zao bibi harusi anafyatua mashine mkono mmoja mkono mwingine ameshikilia extra magazine hio iko kwa utamaduni wao, nililia sana siku ya harusi yangu pale Mogadishu sherehe haikua na pombe wala mziki ilikua na machine guns .unless Hamza awe hakujua kabisa asili yake ndio inaweza kua ajabu kwa yeye kuimudu ile bomba
😄😄😄😄 aiseee.Askari wa bongo ni wa kawaida...
Mi nakuambiaje... kuna raia mtaani huwa wanawaheshimu tu, ile unakuta askari anampiga raia, raia harudishi eti ndio wanajiona wanajua kupiga...
Lakini kuna raia anaweza kuteremsha defender nzima kwa mkono tu peke yake... piga askari 6 kwa wakati mmoja... mamaeeee
Sasa ile kuwaheshimu ndio wanatudharau... unakuta askari ana ndambi hatari... anakunywa bia huyo usiku kucha... kukimbia km 2 ni mtihani... wakikaa kwenye lindo ni story za Manara... heheheeeeehhh
Hio mijegejo kuna raia wengi tu wana maufundi...
Ahaa kwa hiyo wawe wanarudisha wakipigwaAskari wa bongo ni wa kawaida...
Mi nakuambiaje... kuna raia mtaani huwa wanawaheshimu tu, ile unakuta askari anampiga raia, raia harudishi eti ndio wanajiona wanajua kupiga...
Lakini kuna raia anaweza kuteremsha defender nzima kwa mkono tu peke yake... piga askari 6 kwa wakati mmoja... mamaeeee
Sasa ile kuwaheshimu ndio wanatudharau... unakuta askari ana ndambi hatari... anakunywa bia huyo usiku kucha... kukimbia km 2 ni mtihani... wakikaa kwenye lindo ni story za Manara... heheheeeeehhh
Hio mijegejo kuna raia wengi tu wana maufundi...
Enhee.... ongezea nyama hapo alipojiongeza, kwanini ajiongeze? matumizi ya silaha nyingine? je alipitia mgambo?Kwakuwa alikuwa anamiliki bastola ,tunaimani alipata mafunzo ya kutumia silaha kutoka authorized entity na pia inaonekana alijiongeza kwenye kufahamu matumizi ya silaha nyingine.
Kujifunza kutumia silaha kupitia YouTube Ni sawa na Kujifunza kuogolea kupitia YouTube siku ukiingia kwny swimming pool/baharini utakunywa vikombe mpk ushangazwe.Sawa siku kitu live ndo mimavi inachungulia.kwani hao wanaocheza gemu la kukimbiza magari ina maana siku umpe gari aingie nalo road ndo ataendesha si ndio???