Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Takataka
 
Marehemu ndiyo alisema tuingie kwenye mkataba na haya matapeli?
 
Ni wanafiki hawana uchungu wa nchi hamna Raisi alio tuumiza kuuza mali za umma kama Mkapa ikiwemo nbc ttcl nk ila mbona hao wakatoliki hawakujitokeza kumpinga au kisoma mikataba.
Watanzania ni watu wepesi sana kuingia katika hoja za kibaguzi. Wanaomshambulia Samia leo hii wamesahau yote aliyoyafanya Mkapa.

Kinachoonekana kumponza Samia ni jinsia yake zaidi kuliko uongozi wake.
 
Hivi ule mkataba ww una nyumba Yako unapangisha unaweza kusaini masharti kama yale?

Hakuna jinsia hapo Mh rais kachemka.
 
Kwani wakiwa Waarabu kuna tatizo gani?

Mbona ASAS ni Mwarabu na ana visima vya Mafuta Saudia na tuko naye CCM fresh tu tena Mnec
Kaka uzoefu wetu unaonyesha kuwa uwezo wetu wa kujiendesha ni mbovu sana.

Naongelea uhalisia unaotokana na uzoefu wa kufanya shughuli za logistics kwa miaka tisa siongei kama mtu tu wa kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Hivi ule mkataba ww una nyumba Yako unapangisha unaweza kusaini masharti kama yale?

Hakuna jinsia hapo Mh rais kachemka.
Nyumba na bandari ni vitu tofauti kabisa. Nadhani unao uzoefu wa shughuli za bandari kiasi cha kuona ubabaishaji ulioopo pale bandarini.
 
Ni wanafiki hawana uchungu wa nchi hamna Raisi alio tuumiza kuuza mali za umma kama Mkapa ikiwemo nbc ttcl nk ila mbona hao wakatoliki hawakujitokeza kumpinga au kisoma mikataba.
kwa hiyo mkuu unashauri hili lipite tu !
 
Kaka uzoefu wetu unaonyesha kuwa uwezo wetu wa kujiendesha ni mbovu sana.

Naongelea uhalisia unaotokana na uzoefu wa kufanya shughuli za logistics kwa miaka tisa siongei kama mtu tu wa kwenye vijiwe vya kahawa.
Ndiyo nyie maisha yakuwa magumu unaenda kuuza tigo
 
Kaka uzoefu wetu unaonyesha kuwa uwezo wetu wa kujiendesha ni mbovu sana.

Naongelea uhalisia unaotokana na uzoefu wa kufanya shughuli za logistics kwa miaka tisa siongei kama mtu tu wa kwenye vijiwe vya kahawa.
Unaongea kama Chris Lukosi mtaalamu wa Clearing & Forwarding au Baharia mbobezi the late Le mutuz rip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…