Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Naongelea masharti yaliyoko kwenye mkataba unaweza kumpangisha mtu milele?
Mikataba ya kazi itakayoandikwa na kusainiwa baadae itakuwa na ukomo, kutokana na mambo mbalimbali yanayoweza kusitisha biashara kati ya pande mbili zinazosaini mkataba husika.
 
Kweli nchi imeangukia mikononi mwa matapeli.... Kwakweli mmeona Watanzania ni Mazuzu.... Marehemu mmemsingizia vingi sana.... Hadi hili hamuoni aibu. Semeni tu kama nchi imewashinda kuiongoza.
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Semeni na hii JPM alianza huu mchakato.
Hamza Johari unasali wapi mbona unaongea uongo wa mchana peupe
 
Attachments

  • 0C97773A-3608-464E-8BEC-F20CACD9C511.jpeg
    0C97773A-3608-464E-8BEC-F20CACD9C511.jpeg
    50.6 KB · Views: 2
Hilo lina umiza je watanzania? Kama sio chuki tu, mlitaka apewe nani? Ili msipinge mkataba?
Hakuna chuki hapa mkataba huu siyo wa kifamilia na DPWORLD bali tumeambiwa na bunge la CCM kwamba mkataba uko hatua ya intergovernmental agreement, (IGA), yaani UNITED EMIRATES AND REPUBLICK OF TANZANIA wakati ni kati ya kampuni ya DPWORLD na serikali ya Tanzania.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Achana na ujinga wa kwenye Instagram kama umejitungia tutajuaje!
JPM mambo haya ya upuuzi aliyakataa waziwazi hadi hata mbele ya nyumba za ibada! Mnataka kuwafanya waTanzania wapuuzi hell NO!!
 
Yaya Ghete, Sisi hatuhusiki na huo mkataba, Niuze Bandari, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Unaonekana mjinga kwa hizi nyuzi zako ovyo.
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga la Tanzania Bw. Hamza Johari , je anafahamu kuwa kuridhiwa na Bunge kisha kutiwa saini mkataba mama na Dubai wa 2023 kuwa anga la Tanzania nalo limekabidhiwa kisheria kupitia mkataba huu mbovu unaoitwa DP World -
Article 4 – Scope of Co-Operation and Implementing Entities

(2) “Tanzania will inform Dubai of any other opportunities relating to ports and freezones…”

TOKA MAKTABA :
16 September 2019
Hamza Johari - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga

Anga ni fedha unapokuwa na mfumo thabiti ya kuweza kulisimamia anga hilo mapato katika ndege yanaongezeka,.. kwa hiyo tunatarajia kuongezeka kwa takribani Bilioni 8 zaidi ya makusanyo ya sasa"

Tuesday, August 16, 2022
Rwanda Regains Control of Upper Airspace After 30 Years

Rwanda will now have full control over its upper aerial space, after more than three decades in the hands of the Tanzanian government ...

On Tuesday, August 16, 2022, Rwanda & Tanzania signed a deed of handover for the provision of Air Traffic Services in Rwanda's upper airspace above 24500ft.

In 1973 Rwanda delegated the provision of Air Traffic Services in her upper airspace above 24500ft to Tanzania CAA.

The handover deed was signed by Director Generals of Rwanda Civil Aviation Aviation Authority (RCAA) and Mr. Hamza Johari of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) and witnessed by the Permanent Secretary in Rwanda's Ministry of Infrastructure and Regional Director of ICAO's Eastern and Southern Africa Regional Office

Source : Rwanda Airports Company
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Marehemu hawezi kujitetea. Itafika tutakumbuka wimbo wa nitoke vipi
 
Semeni na hii JPM alianza huu mchakato.
Hamza Johari unasali wapi mbona unaongea uongo wa mchana peupe
Tuendelee kupinga uwekezaji usiokuwa na masharti ya nipe-nikupe (win-win situation).

Kwa kuwa Rais SSH ameonesha kutokuaminika, Bunge liwe na mamlaka ya kupitia mikataba yote inayohusu ushirikiano wa shughuli zote za maendeleo (kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia) kati ya nchi na nchi. Mikataba inayohusu ushirikiano kati ya kampuni ya ndani na ya nje ipitishwe Bungeni kwa taarifa na kama ina ukakasi Bunge liwe na uwezo wa kuikataa. Kuipitisha Bungeni kutawalazimisha waandaaji mikataba kuwa makini.

Yote tisa ya ushirikiano, kumi, Serikali ichukue hatua za makusudi kuimarisha uwezo wa ndani kutekeleza shughuli zote za maendeleo. Tofauti na hili nchi itaendelea kusaini mikataba isiyo na maslahi ya kitaifa kama huo wa IGA (Tanzania na Dubai) unaoipa DPW, kampuni ya Dubai mamlaka na madaraka makubwa kama ya nchi
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Wanatuona watanzania wajinga nilikuwa nasikiliza clouds asbh leo. Wamesema wameijuia Dp world 2021 kwenye maonesho huko dubai. Hapo Magu alikuwepo
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Wameshikwa pabaya ss wanatafuta wakumuagushiwa lawama wamuache jpm apumzike hausiki na mikataba ya kimangungo
 
Back
Top Bottom