😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi
johnthebaptist
-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga la Tanzania Bw. Hamza Johari , je anafahamu kuwa kuridhiwa na Bunge kisha kutiwa saini mkataba mama na Dubai wa 2023 kuwa anga la Tanzania nalo limekabidhiwa kisheria kupitia mkataba huu mbovu unaoitwa DP World -
Article 4 – Scope of Co-Operation and Implementing Entities
(2) “Tanzania will inform Dubai of any other opportunities relating to ports and
freezones…”
TOKA MAKTABA :
16 September 2019
Hamza Johari - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Anga ni fedha unapokuwa na mfumo thabiti ya kuweza kulisimamia anga hilo mapato katika ndege yanaongezeka,.. kwa hiyo tunatarajia kuongezeka kwa takribani Bilioni 8 zaidi ya makusanyo ya sasa"
Tuesday, August 16, 2022
Rwanda Regains Control of Upper Airspace After 30 Years
Rwanda will now have full control over its upper aerial space, after more than three decades in the hands of the Tanzanian government ...
On Tuesday, August 16, 2022, Rwanda & Tanzania signed a deed of handover for the provision of Air Traffic Services in Rwanda's upper airspace above 24500ft.
In 1973 Rwanda delegated the provision of Air Traffic Services in her upper airspace above 24500ft to Tanzania CAA.
The handover deed was signed by Director Generals of Rwanda Civil Aviation Aviation Authority (RCAA) and Mr. Hamza Johari of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) and witnessed by the Permanent Secretary in Rwanda's Ministry of Infrastructure and Regional Director of ICAO's Eastern and Southern Africa Regional Office
Source : Rwanda Airports Company