Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
TakatakaNguvu inatumika kutetea biashara iliyotumia mtaji mkubwa sana mpaka dakika hii. Ni biashara inayokwenda kutupaisha kiuchumi ukizingatia volume nzima ya kinachotegemewa kuja ni kikubwa sana kutoka DRC.
Rais Tshisekedi alifanya ziara nchini ya siku kama tatu hivi, siku ya kwanza kabisa akaenda bandarini kutazama ukarabati umefikia hatua zipi, na ni wakati wa JPM.