Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mikataba ya kazi itakayoandikwa na kusainiwa baadae itakuwa na ukomo, kutokana na mambo mbalimbali yanayoweza kusitisha biashara kati ya pande mbili zinazosaini mkataba husika.Naongelea masharti yaliyoko kwenye mkataba unaweza kumpangisha mtu milele?
Kaka Mkubwa Le Mutuz amepumzika kwa amani kwao Dodoma.Unaongea kama Chris Lukosi mtaalamu wa Clearing & Forwarding au Baharia mbobezi the late Le mutuz rip
Kile kichwa cha chato namba nyingine ilikuwa , SSH uenda amekosa uwazi au mbinu ya kutuambia mazuri ya mkataba wa bandari hivyo linakuwa zengwe lisiloisha dhidi yake.Oyaa JPM aliwafurumua WACHINA AA BAGAMOYO.
Genge la Samia limeanza kutafuta uhalalishaji wa UPUMBAVU wao kupitia jina la JPM
Inawezekana kweli palikuwa na hiyo tume, na kwa mwongozo wa hayati ilienda vyema. Alipoondoka wakapindua meza. Hivyo wasimlaumu marehemu bali wailaumu kamatiKwa hiyo unapingana na huyo aliyesema waliunda Timu Toka kitambo au?
Kwani wanaoitaka bandari ni wandengereko?Tafadhali, andika hoja sio vihoja. Toa neno waarabu ili uunde hoja.
Semeni na hii JPM alianza huu mchakato.ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Hakuna chuki hapa mkataba huu siyo wa kifamilia na DPWORLD bali tumeambiwa na bunge la CCM kwamba mkataba uko hatua ya intergovernmental agreement, (IGA), yaani UNITED EMIRATES AND REPUBLICK OF TANZANIA wakati ni kati ya kampuni ya DPWORLD na serikali ya Tanzania.Hilo lina umiza je watanzania? Kama sio chuki tu, mlitaka apewe nani? Ili msipinge mkataba?
Achana na ujinga wa kwenye Instagram kama umejitungia tutajuaje![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Lala mkuu haya mambo huyaweziWamekutapeli nini?
Mbona wajinga mnakuwa wengi Magufuli hawezi kukubali mikataba ovyo.Aisee jpm Kumbe ndio mwanzilishi wa huu ufisadi
Unaonekana mjinga kwa hizi nyuzi zako ovyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Duuh aiseeSemeni na hii JPM alianza huu mchakato.
Hamza Johari unasali wapi mbona unaongea uongo wa mchana peupe
ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Marehemu hawezi kujitetea. Itafika tutakumbuka wimbo wa nitoke vipiππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Tuendelee kupinga uwekezaji usiokuwa na masharti ya nipe-nikupe (win-win situation).Semeni na hii JPM alianza huu mchakato.
Hamza Johari unasali wapi mbona unaongea uongo wa mchana peupe
Wanatuona watanzania wajinga nilikuwa nasikiliza clouds asbh leo. Wamesema wameijuia Dp world 2021 kwenye maonesho huko dubai. Hapo Magu alikuwepoππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Wameshikwa pabaya ss wanatafuta wakumuagushiwa lawama wamuache jpm apumzike hausiki na mikataba ya kimangungoππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist