Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Oyaa JPM aliwafurumua WACHINA AA BAGAMOYO.Hamza ushamaliza Mambo ya Anga hadi uvamie masuala ya bandari, kama upo kutoa maoni Sawa na si kutuaminisha katika mlolongo wa kufikia lengo la kubinafsisha bandari. Kama kitu kipo Kwa nia njema nguvu nyingi za nini kuaminisha watu kama ni Jambo zuri ilipaswa kuendelea na mengine.
Tafadhali, andika hoja sio vihoja. Toa neno waarabu ili uunde hoja.Mnamtaja magufuli ili mmsafishe samia aliyeamua kuuza nchi kwa waarabu?
Mnajidanganya
Oyaaa Marehem aliwafukuzia mbali WACHINA WA BAGAMOYO.Aibu hamna mnataka kumsingizia marehemu?
Mbona aliowaweka jela mmewatowa?
Watanzania wengi hawalalamiki uteuzi wa timu. Mbona hatuelewani? Tulalamika contents za mkataba. Mbona anataka kutupotosha?ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
Hawa wajinga wanazidi kuharibu tuu yaan Bora wake kimyaMnamtaja magufuli ili mmsafishe samia aliyeamua kuuza nchi kwa waarabu?
Mnajidanganya
Kwahiyo unajisikia amaaani mwenyewe chawa wa mama! Wewe huna uwezo badala upambane uongeze uwezo unajipa moyo eti mbona hata jirani nae yupo hivyo hivyo.... Pambana na hali YAKO...Kwa hiyo unapingana na huyo aliyesema waliunda Timu Toka kitambo au?
Sasa ndio umeongea nini?Kwahiyo unajisikia amaaani mwenyewe chawa wa mama! Wewe huna uwezo badala upambane uongeze uwezo unajipa moyo eti mbona hata jirani nae yupo hivyo hivyo.... Pambana na hali YAKO...
Sijaongea nimeandikaSasa ndio umeongea nini?
Na ninacho maanisha ni kwamba... Kama mnaona mtu kaanzisha jambo baya na unajua ni baya kuna haja gani ya kuliendeleza wakati unajua ni baya? Na mambo yamewashinda mnaanza kusema KWanza jambo lenyewe kalianzisha fulani!!! Huo si ukhanithi kabisa!!!......Sasa ndio umeongea nini?
Sisi wengine tulipoona ghafla Shujaa Magufuli kamtenga PK tukajua tu Paul kagusia Bandari ππ maana katika hilo hata JK machale yalimchezaππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Ni upumbavu mtu kuendelea kumsukumzia marehemu mambo mliyosainiwenyewe!
Sio jambo baya mbona ila nyie ndio mnapotoshaNa ninacho maanisha ni kwamba... Kama mnaona mtu kaanzisha jambo baya na unajua ni baya kuna haja gani ya kuliendeleza wakati unajua ni baya? Na mambo yamewashinda mnaanza kusema KWanza jambo lenyewe kalianzisha fulani!!! Huo si ukhanithi kabisa!!!......
Na swala ni terms of the contract... Naamini angekuwepo huyo mnae msingizia kaanzisha naamini hizo terms kandamizi za mkataba ZIsinge kuwepo!! Pia mtu kesha jiondokea zake KWa nini muendele kumtajataja? Sijui wewe ni kijana au mtu wa makamo au mzee... Mimi sijui... Lakini watanzania wa siku hizi (wengi wao sio wote) mnajipendekeza sana na hiyo yote ni kupenda mtelemko, kutaka vyeo KWa lengo la kujionyesha wala si kutaka kuleta mabadiliko katika jamii.... Ndio maana mashoga wanaongezeka....