ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Akwepe Kwa lipi hasa baya?Kwenye hili mama hakwepi hata anunue vichawa vingine waongeze nguvu kumtetea, ila wanatanzania wa miaka 10 iliyopita siyo kama wa leo, wanajua na wanaouwezo wa kuhoji inapobidi!
Mambo yamebadirika mno
Narudia tena, kuendelea kumsingizia Magufuli leo, ni dhahiri kwamba kosa wanalo ila hawataki kujitokeza kuomba poo!
πππππWakishindwa wanamuangushia zigo Magufuli, hiyo ni hulka ya watu wavivu na incompetent, yaani Magufuli apugania Bomba la Mafuta ktk Uganda mpka Bandari ya Tanga halafu akaingie mkataba na kuizuia Bandari ya Tanga isisafirishe Mafuta?
Wewe unaamini watu wasiokuwa na akili timamu?!Kwa hiyo unapingana na huyo aliyesema waliunda Timu Toka kitambo au?
Mtanikumbuka πππ₯πAkwepe Kwa lipi hasa baya?
π€£π€£π€£Daaah yaan na hili mnataka kumuangushia jumba bovu JPM? NB; Pambaneni na hali zenu kuna uovu ndan ya mkataba tafuteni namna ya ku solve!!
πππMagu na waarabu wapi na wapi
Kwa hili hahusiki.Magu na waarabu wapi na wapi
Wewe una akili?Wewe unaamini watu wasiokuwa na akili timamu?!
Mkuu ChoiceVariable wewe ni "Dependent Variable" au "Independent Variable"? Mbona hamjibu swali langu la msingi Kwa nini Serikali ya JMT haikubariki MoU kati ya TPA, shirika lake, na DPW ya Dubai, iliyosainiwa 28/2/2022, badala yake ikaingia Mkataba wa IGA uliosainiwa 18/10/2022, tofauti na makampuni mengine yanayowekeza nchini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
NI DHAMBI KUMSINGIZIA ALIETANGULIA...ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Siko Serikalini Wala TPA so siko kwenye nafasi ya kujibu Hilo.Mkuu ChoiceVariable wewe ni "Dependent Variable" au "Independent Variable"? Mbona hamjibu swali langu la msingi Kwa nini Serikali ya JMT haikubariki MoU kati ya TPA, shirika lake, na DPW ya Dubai, iliyosainiwa 28/2/2022, badala yake ikaingia Mkataba wa IGA uliosainiwa 18/10/2023, tofauti na makampuni mengine yanayowekeza nchini?
Akikujibu nistue mkuuMkuu ChoiceVariable wewe ni "Dependent Variable" au "Independent Variable"? Mbona hamjibu swali langu la msingi Kwa nini Serikali ya JMT haikubariki MoU kati ya TPA, shirika lake, na DPW ya Dubai, iliyosainiwa 28/2/2022, badala yake ikaingia Mkataba wa IGA uliosainiwa 18/10/2023, tofauti na makampuni mengine yanayowekeza nchini?
Huyu wa anga anaongelea ya bandari?ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
π₯π₯π₯π₯Siko Serikalini Wala TPA so siko kwenye nafasi ya kujibu Hilo.
Wa tag wahusika wapo kwenye social media..
Mimi ni independent variable
Uzuri JPM alishatusanua mapema kabisa. Kwahiyo tunajua. Nyie pambaneni na hari yenu.ππππ ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist
-
βTimu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.β
Si ndio anatajwa alishiriki kwenye negotion ya mkatabaHuyu wa anga anaongelea ya bandari?
Hivi hawa watu wanatuonaje watanzania? Hakuna anaekataa uwekezaji nyie wahishimiwa. Tunakataa vifungu vya hovyo vilivyomo kwenye mkataba huo. Mbona hamtaki kutusikiliza? Kwa nininaving'ang'ania? Kwa nini hamtaki vibadilishwe? Kuna nini nyuma ya pazia?