Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Mkataba wa kishenzi kama upi huo?
 
Kumbuka kuwa Hamza alikuwa mshauri wa JPM wa masuala ya kisheria kama alivyo mshauri wa SSH wa masuala hayo hayo.
 
Ukiona hivi ni maji ya shingo sasa wanatafuta mtu wa kumwangushia. Magufuli aliweka 1.3 Trilioni pale asingeweza kuweka hela kama ana mpango wa kubinafsisha. Pia asingeweza ingia mkataba wa hovyo namna katika karne hii 21 ya Sayansi na technologiA.

Turekebishe mkataba tuache kutapa tapa.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Mi ninavyoelewa kuweka namna itakayofanya ufanisi wa bandari si tatizo. TATIZO NINI KIPO NDANI YA MKATANA HUO.
Hata angekuwa ni jpm aliwatuma hakuwa tuma kuuza au kupunjwa maslahi ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…