Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

pamoja na mapungufu yake kama binadamu. magu hakusaini mkataba wa kishenzi kipindi chake kama huyu mama alivyofanya. Alipoingia ikulu alikuta deal la wachina kujenga sgr kwa usd5mil kwa kilomita. magu akakataa akawapa waturuki kwa usd3mil kwa km.

deal la dp world si la magu hata kidogo. wanajua walikolitoa
Mkataba wa kishenzi kama upi huo?
 
pamoja na mapungufu yake kama binadamu. magu hakusaini mkataba wa kishenzi kipindi chake kama huyu mama alivyofanya. Alipoingia ikulu alikuta deal la wachina kujenga sgr kwa usd5mil kwa kilomita. magu akakataa akawapa waturuki kwa usd3mil kwa km.

deal la dp world si la magu hata kidogo. wanajua walikolitoa
Kumbuka kuwa Hamza alikuwa mshauri wa JPM wa masuala ya kisheria kama alivyo mshauri wa SSH wa masuala hayo hayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Ukiona hivi ni maji ya shingo sasa wanatafuta mtu wa kumwangushia. Magufuli aliweka 1.3 Trilioni pale asingeweza kuweka hela kama ana mpango wa kubinafsisha. Pia asingeweza ingia mkataba wa hovyo namna katika karne hii 21 ya Sayansi na technologiA.

Turekebishe mkataba tuache kutapa tapa.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Mi ninavyoelewa kuweka namna itakayofanya ufanisi wa bandari si tatizo. TATIZO NINI KIPO NDANI YA MKATANA HUO.
Hata angekuwa ni jpm aliwatuma hakuwa tuma kuuza au kupunjwa maslahi ya nchi
 
Back
Top Bottom