ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #121
Mkataba wa kishenzi kama upi huo?pamoja na mapungufu yake kama binadamu. magu hakusaini mkataba wa kishenzi kipindi chake kama huyu mama alivyofanya. Alipoingia ikulu alikuta deal la wachina kujenga sgr kwa usd5mil kwa kilomita. magu akakataa akawapa waturuki kwa usd3mil kwa km.
deal la dp world si la magu hata kidogo. wanajua walikolitoa