Pamoja na kwenda kwa viongozi wa dini wamekwambia mkataba huo ni hatari kwa taifa na vizazi vijazo , kuwa profesa siyo kwamba kila kitu unajuwa wewe ni binadamu na kama ulifanya hayo kwa kujuwa basi hufai kuwa kiongozi wa serikali.
Tambua kwamba swala la mkataba wa bandari na Dp world hata kama hamjawapa baadhi ya maeneo sisi hatujasema hayo unayozungumza tunataka mkataba urekebishwe tujue ni mkataba wa mda gani na faida tutapataje kupitia mkataba huo! hizo hisia zako kuwa DP world itapandisha mapato ya bandari kutoka 37% hadi 67% kawadanganye watoto wa dogo.