Hamza Johari: Timu ya Uchunguzi wa Mkataba wa DP World iliteuliwa na Hayati Magufuli, Rais Samia anaendeleza mchakato

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Huyo Johari kafikaje kwenye mambo ya mikataba,si tuliambiwa Professor Kabudi ndiyo atasimamia masuala ya mikataba ya kimataifa?
 
Wako wote huko ila huyu aliteuliwa na Mwendazake kama mshauri wake kwenye mambo ya sheria nk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Muongo mkubwa asimsingizie marehemu!
DP World imeibuliwa October 2022 kwenye Dubai expo, JPM alifariki march 2021!
Hili ni la Samia, wasimpake matope JPM apumzike zake!
 
Daaah yaan na hili mnataka kumuangushia jumba bovu JPM? NB; Pambaneni na hali zenu kuna uovu ndan ya mkataba tafuteni namna ya ku solve!!
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Sawa ni mchakato uliokuwepo tangia kipindi cha hayati, vipengere vya mkataba vinatubana kama nchi je rais Samia kwa kulijua hilo kwanini asiyabatilishe au kuvunja hayo mazungumzo yanayoendelea?
Kiufupi naona hali ya kutaka kumtupia mzigo mwendazake hapa
 
Hajaona kama Kuna shida ila nyie mnadakia Kwa wapotoshaji tuu wanaocheza siasa.
 
Pamoja na kwenda kwa viongozi wa dini wamekwambia mkataba huo ni hatari kwa taifa na vizazi vijazo , kuwa profesa siyo kwamba kila kitu unajuwa wewe ni binadamu na kama ulifanya hayo kwa kujuwa basi hufai kuwa kiongozi wa serikali.
Tambua kwamba swala la mkataba wa bandari na Dp world hata kama hamjawapa baadhi ya maeneo sisi hatujasema hayo unayozungumza tunataka mkataba urekebishwe tujue ni mkataba wa mda gani na faida tutapataje kupitia mkataba huo! hizo hisia zako kuwa DP world itapandisha mapato ya bandari kutoka 37% hadi 67% kawadanganye watoto wa dogo.
 
Mkuu ina maana haujapata nafasi ya kukupitia huu mikataba ama?
Mikataba ya utekelezaji Bado hiyo ndio inasema ukweli MoU sio mkataba ,Nina Imani na Serikali.

Wewe Kwa akili Yako Bandari imeuzwa?
 
😂😂😂😂 ya ndani yanazidi kuwekwa Wazi johnthebaptist

-
“Timu ya uchunguzi [kuhusu bandari] iliteuliwa na Hayati Magufuli. Kimsingi ni mwendelezo wa kazi, sio kitu ambacho kimekurupuka ghafla, ni mchakato wa muda mrefu wa serikali kuhakikisha tunakuwa na bandari yenye ufanisi.”

Bora ninyamaze tu
 
Pamoja na kwenda kwa viongozi wa dini wamekwambia mkataba huo ni hatari kwa taifa na vizazi vijazo , kuwa profesa siyo kwamba kila kitu unajuwa wewe ni binadamu na kama ulifanya hayo kwa kujuwa basi hufai kuwa kiongozi wa serikali.
Tambua kwamba swala la mkataba wa bandari na Dp world hata kama hamjawapa baadhi ya maeneo sisi hatujasema hayo unayozungumza tunataka mkataba urekebishwe tujue ni mkataba wa mda gani na faida tutapataje kupitia mkataba huo! hizo hisia zako kuwa DP world itapandisha mapato ya bandari kutoka 37% hadi 67% kawadanganye watoto wa dogo.
Mbona hao watu wa dini hawajawahi kutoka hadharani kupinga mikataba chungu zima ya migodi uko nyuma?
 
Pamoja na kwenda kwa viongozi wa dini wamekwambia mkataba huo ni hatari kwa taifa na vizazi vijazo , kuwa profesa siyo kwamba kila kitu unajuwa wewe ni binadamu na kama ulifanya hayo kwa kujuwa basi hufai kuwa kiongozi wa serikali.
Tambua kwamba swala la mkataba wa bandari na Dp world hata kama hamjawapa baadhi ya maeneo sisi hatujasema hayo unayozungumza tunataka mkataba urekebishwe tujue ni mkataba wa mda gani na faida tutapataje kupitia mkataba huo! hizo hisia zako kuwa DP world itapandisha mapato ya bandari kutoka 37% hadi 67% kawadanganye watoto wa dogo.
Tumejua kwamba IGA, (intergovernmental agreement), kwenye mkataba huo ni kati ya kampuni DPWORLD na serikali ya Tanzania kwa tafsiri nyingine mkataba huu siyo kati ya nchi na nchi
 
Kama tulivyopiga kelele kwenye ubia tata wa ATC na SAA miaka ile hadi Serikali ikajirudi ndivyo itakavyo kuwa kwenye hili timbwili la bandari. Tutapiga kelele hadi kieleweke.
 
Tumejua kwamba IGA, (intergovernmental agreement), kwenye mkataba huo ni katia kampuni DPWORLD na serikali ya Tanzania kwa tafsiri nyingine mkataba huu siyo kati ya nchi na nchi
Hilo lina umiza je watanzania? Kama sio chuki tu, mlitaka apewe nani? Ili msipinge mkataba?
 
Back
Top Bottom