Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo


Bora umesema ni kikao cha bar maana hakuna point hapo
 
Hando amesisitiza kuwa mikopo nchi inayoingia lazima tutailipa na walipaji ni sisi watanzania wote yaani mimi na wewe.
Ningependa kujua hivi ni kwanini rais wa Tanzania halipi kodi? Au analipa jamani nielewesheni. Je kuna ofisa/maofisa wengine ambao pia hawalipi kodi?
 
We boya tu na zuzu Tena nguchiro hujielewi na degree uchwara
 
Freedom of expression: Anashauri njia gani mbadala za kupata fedha nyingi za kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati? 🙏🙏🙏
 
Hata hao watu wako unawaona wa maana Ni walevi tu, tuwataje kuanzia juu kushuka chini au chini kwenda juu,

Tena Ni mimalaya ya kutupwa
 
Kwani gavana anapanga matumizi ya nchi au ufisadi ukifanyika unamhusu?
Shida tunazopitia yeye anazijua?

Yeye anachojua ni kwamba bado tunaweza kukopa au tumefika kikomo

Yeye yupo kwenye kiyoyozi na akiingia kwenye ma sefu ya kutunza hizo pesa moyo unalidhika
Sasa wewe ambaye unahangaika kutafuta buku mtalingan naye?

Posho na mshahara anaolipwa ni sawa na mtaji unao uwekea dhamana nyumba ya ukoo na kisha ukatwe tozo ila yeye hasumbui kichwa.
 
Hii kauli sio nzuri hata kidogo. Labda ndio maana Zitto alisema watu wakajizike pale pembeni ya kaburi? (Samahani, kauli ya ZZK siikumbuki vizuri)
Jitu hakilielewi kitu linaropoka tuu,hicho kindugai kilitimuliwa kwa sababu ya uropokaji usio na maana..

Unauliza madeni ,kwani kukopa Ni bure? Itajengwa reli kwa kudunduliza nakusanya ya Tozo na viduka vyenu itaisha lini?
 
Kwanini sasa Ndugai alijiuzuru baada ya Free expression?
no huyo jamaa kakosea,alichojiuzulu ndugai ni kwamba mkopo huo ulipita lbungeni na yeye akaunga mkono sasa inakuwaje unatoka nje ya bunge na kuupinga wakati bungeni aliuunga mkono?
 
Hando na Ndugai wametoa Normative statement tu, so there is no verifiable evidence on them, lakini ndiyo ukweli wenyewe huo...
Hali ya uchumi wa taifa haiangalii uchumi wa mtu mmoja mmoja. Kwa hiyo kupitia Pato ghafi la taifa hapo ndio tunapata picha
Siasa chafu na za kutafuta umaarufu usio na maana ndio zilitufikisha hapa tulipo. Kabla 2015 miaka 7 iliyopita CHADEMA walitembea nchi nzima kumtangaza Lowassa ni fisadi na wakamnanga na kumrushia kila jiwe. Cha ajabu 2015 akawa mgombea Urais na tuhuma zote zikatakaswa.

Kwa hiyo mambo ya kuchafuana kisa ufisadi na rushwa yamepitwa na wakati na hapo hapo kuna chombo cha kututhibitishia ufisadi na rushwa
 
Your browser is not able to display this video.
"Katika mazingira ya kawaida hakuna kibaya alichokisema Ndugai kuhusu kukopa, mimi binafsi sipendi Serikali inavyokopakopa, na Serikali inakopa sana, si tunaona kila siku

“Hata Rais kafafanua lakini bado nasema tunakopa sana, bado inaonekana hatujajikwamua, kukopa sana sio ujanja, kwa sababu tutalipa tu, na huu ugumu wa maisha tunaopitia ni kwa sababu ya haya madeni tu, kwani tunapaswa kulipa, mimi nalipa, wewe unalipa kila mtu analipa

"Ndio tunalalamika hali ngumu kwa kuwa lazima tulipe, kwa hiyo Spika hakukosea sana ila sijui nini kilimsibu mzee Ndugai,” - Gerald Hando, Mtangazaji wa E-FM

Chanzo: E FM
 
Kama nchi wapo wanakosoa serikali wazi wazi kama huyo jamaa nampa hongera sana yeye 1 nizaidi ya machawa 1000 wanaosifu na kuabudi wakidai mama anaupiga mwingi
 
Ugumu wa maisha unasababishwa na upandaji wa bei chakula.

Watumishi wameruhusiwa kuuza nje,.

Wakulima wakubwa wakubwa wanapeleka nje karibia wote. Ndani knabak kichache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…