'Hangover' ya propaganda za utawala wa Magufuli zitadumu kwa baadhi ya watu milele

Magufuli ndani ya miaka 5 amekopa til. 10
Mama kwa mwaka 1 amekopa til. 9

Na wewe chawa uko hapa kumsifia
Mama akikopa anasema Magufuli hakuwa kusema kwamba anakopa.. alitudanganya kwamba pesa zile ni za ndani kwamba nchi hii ni tajiri sana.
 
Magufuli ndani ya miaka 5 amekopa til. 10
Mama kwa mwaka 1 amekopa til. 9

Na wewe chawa uko hapa kumsifia
Alikuta deni la taifa likiwa 39t, ndani ya 5yrs likafikia 57t. Hadi anaelekea motoni hali ilikuwa hiyo.
 

Kwani magufuli akikuwa anapendwa au au ilikuwa ukisema hapendwi unatekwa? Kama alikuwa anapendwa kipi kilimfanya anajisi uchaguzi?
 
Upo sahihi. Propaganda zake zitaishi daima miongoni mwa wa TZ . Binafsi kwenye maisha yangu sijawai kuona MTU muongo duniani Kama MAGUFULI
 
Kwanini , mawazo Yako yaende hoko?

Corona siyo kifo Cha aibu , ingekua kipindupindu tungeo aibu kama Taifa.

Tukubali TU kwamba kufa ni siku inakua imewadia hayo mengini ni kukamilisha TU.
 
10% inaweza isiwe Kweli.
 
Kama ni vile viwanda vya cherehani tatu sawa.
Wewe hujaenda mwaka gani mkoa wa pwani. Tembelea kule one. Viwanda vya vifaaa vya ujenzi alikuwa anazindua mara kwa mara. Na na Mara ya Mwisho BiTozo kazindua Cha nyaya za umeme mwaka Jana kula mkuranga na kingine kigamboni.

Mwanza, JPM alizindua viwanda kikiwemo Cha Kutengeneza Madawa.

Mara ya Mwisho kabisa alizindua kiwanda kikubwa ka Bei Isa pale Moro Cha kuchakatav
mpunga.

Mkishindwa kazi mailaumu waliopita. JPM kagoma kabisa kukufa
 
Miundo mbini ipi hiyo? Mbona mna mtukiza kipita kiasi?
 
Kwenye uzinduzi wa viwanda hapo usiseme, enzi za cherehani 10 , nikiwanda?

2018 , mwenge ulizindua kiwanda chenye miaka zaidi yakumi.
 
Kwenye uzinduzi wa viwanda hapo usiseme, enzi za cherehani 10 , nikiwanda?

2018 , mwenge ulizindua kiwanda chenye miaka zaidi yakumi.
Hizo zilikuwa ni miongini tu.

Wewe gugu basi? JPM azindua kiwanda. Utapata vingi.
 
Haha kipindi hicho nilikua hainipiti hotuba zake hata kidogo lakini Sasa hata dakika Moja siwezi kumsikiliza huyo mama

Alinijaza uzalendo wa kweli lakin Sasa .mmh
Yani unajazwa ujinga ndio unaita uzalendo?.
Nchi imejaa watu wa hovyo sana
 
Kwanini , mawazo Yako yaende
hoko?
Corona siyo kifo Cha aibu ,
ingekua kipindupindu tungeo
aibu kama Taifa.
Tukubali TU kwamba kufa ni
siku inakua imewadia hayo
mengini ni kukamilisha TU.
Wananasema alidharau corona ndio maana wanalazimisha kifo chake kuwa ni cha corona ili kuonesha kuwa hakuwa sahihi kwenye msimamo wake dhidi ya corona na kuidharau kwake corona ndio maana imemuondoa.
 
Ha ha haa hii nchi inafaa itawaliwe tena na wakoloni kama watz wenyewe Akili ndo kama hizi za kushikiwa.
 
We nahisi ndo kilaza namba moja hapa JF. By the way mtete chief hangaya Kwa kupaisha bei ya bidhaa
 
mzimu wa magu bado unawatesa wengi sana..
 
Chama gani kilikuwa omadarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…