Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

barabara zilijengwa ili zitumiwe na magari na kila kinachotumika huchakaa na kinatakiwa kufanyiwa ukarabati sielewi kinachosumbua ni nini hapa
 
=> Hans Pope ni --------....mjinga asiye kuwa na nywele kichwani....very arrogant.....kuwa na malori asije kudhani yuko juu ya sheria......akapark malori yake kwake na mke wake...shit Hans pope....
 
5% tolerance iko kwenye Sheria, imewekwa kwa sababu logical Lori linaposafiri, with the bumps n.k mzigo hucheza, so ukipima mikese hutopata same reading ukipima mikumi n.k ukija kupima iringa

Alipokurupuka Mhe. Maghfuli kwa kutokujua or uwanasiasa akasahau kuwa hiyo 5% tolrence ipo katika Sheria zake za barabara.

So argument ya Hans Poppe ikawe je madereva/wamiliki wa malori wawe wanatembea na hiyo extract from Sheria ili wakifika mzani wawaonyeshe hao wapima mzani kuwa Sheria yao inaruhusu 5% tolerence?

Ndio maana malamiko yemekua mengi Sheria zipo ila ndio hazisimamiwa hata na hao wanaozitunga

Jamaa wana hoja kuhusu hiyo 5% though wakati mwingine wanaitumia kuhujumu barabara maana ukiwa pale maeneo ya Mbezi huwa wanapunguza mzigo kwenye canter unatangulia ili wakivuka tu mzani wanarudishia alafu wakiendelea mbele wanajenga hoja kwamba mzigo umehama na kucheza na watumishi wa mizani kwa kutoa chochote ili wasiambiwe kupanga tena mzigo na kurudi kupima

Serikali imejikaangaa yenyewe hapa kwa kutoisimamia reli, kama barabara wanazitafutia hela za mikopo na wanazitengeneza kila siku na zingine hazina hata miaka 10 tayari zipo kwenye ukarabati
 
Huyo HANS POPE ni -------- tu, kama wakigoma wagome wao, hata hivyo malori kutoka nje yanaendelea na safari. Na nyinyi munompa kichwa na kumsifia HANS POPE ni wapuuzi tu, inawezekana hamumujui magufuli. Ngoja niwape mfano mdogo wa mjinga mmoja aliyekuwa na kiburi na dharau kama HANS POPE jinsi magufuli alivyo mfanya kitu mbaya.....

Kuna jamaa mwarabu mmoja anaitwa Zakheimu alikuwa mkandarasi mkubwa sana hapa nchini, siku moja wakandarasi wakaandaa mkutano na magufuli akaalikwa kama mgeni, kilichotokea ni kwamba MAGUFULI alichelewa kufika kwenye mkutano, MAGUFULI alipofika kwenye mkutano yule ZAKHEIMU akamfuata MAGUFULI na kuanza kumtukana nanukuu "yaani waziri mzima unachelewa kwenye mkutano sikutegemea kama waziri unaweza kuwa na akili ya ajabu kiasi hiki na hatukutaki tena kwenye mkutano" Magufuli akamjibu ZAKHEIMU nanukuu "wewe mwarabu unatoa wapi jeuri ya kunitukana mimi waziri tena wewe ni mgeni ndani ya hii nchi, sasa tutaona, nahakikisha kuanzia leo kampuni yako haipati kandarasi au tender yoyote labda ya kutengeneza bara bara za mtaa, labda mimi sio magufuli nakuapia" tokea hapo mpaka leo kampuni ya ZAKHEIMU imekufa na nasikia siku hizi ZAKHEIMU ameamua kuokoka. Zamu ya huyo kibaraka HANS POPE inakuja, kumbukeni magufuli haonei mtu bali anasimamia sheria na ndicho kinachotakiwa kwa kiongozi bora "utawala wa sheria"
 
Yeye anasema magufuli anachuki binafsi na transporters, mimi nasema yeye ana chuki binafsi na magufuli. Miezi kadhaa iliyopita alikuwa akihojiwa na kipindi cha television (sikumbuki kituo gani), jamaa aliyaongea hayahaya, tena kwa dharau na kebehi kubwa kwa magufuli utafikiri anamuongelea mtoto wake. Nilijiuliza sana huyu jamaa anapata wapi kiburi hiki? Nikahisi kuna nguvu nyuma yake na si bure!

Inawezekana jamaa ana hoja, lakini jinsi anavyowakilisha hoja zake inaudhi.

Simuungi mkono magufuli, lakini si vema pia mtu kuwasilisha hoja kwa dharau kwa waziri mwenye dhamana!

Mimi simuungi mkono Magufuli hata kidogo kwani hata yeye anadharau sana na amri zake za kiimla.Umedharau utadharaulika pia this is principle kwani yeye nani.Mizani zinapima tofauti na watu wanapigwa faini ilo analisemeaje.Walitoka watu wa wizara,Tatoa na wa mizani wakaondoka na magari yakapima tofauti kibaha,Chalinze,Msata na makambako gari iloilo hii imekaajae.Lori la mafuta linapima kila mizani huu si uhuni na kuwatesa kwa foleni bila sababu ya msingi.
 
... Magufuli akamjibu ZAKHEIMU nanukuu "wewe mwarabu unatoa wapi jeuri ya kunitukana mimi waziri tena wewe ni mgeni ndani ya hii nchi, sasa tutaona, nahakikisha kuanzia leo kampuni yako haipati kandarasi au tender yoyote labda ya kutengeneza bara bara za mtaa, labda mimi sio magufuli nakuapia"
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli alikuwa sahihi kuingiza hisia au ugomvi binafsi katika kazi? Mimi naona unasifia ujinga tu, kama Magufuli alikerwa na maneno ya Zakheimu alitakiwa amchukulie hatua kama mtu binafsi, na sio kama kampuni. Angeweza kumpeleka jamaa Polisi kwa kumdhalilisha, lakini kuingilia tenda za serikali ni kinyume na sheria za PPRA. Isitoshe kampuni hiyo inaweza ikawa na wabia wengine zaidi ya Zakheimu, kwa hiyo kuikomoa kampuni eti kwa kuwa umetukanwa na mmoja wa wabia sio haki. Kwa ufupi usiusifie ujinga hapo
 
Niliwahi kusema hapa na leo narudia tena kuwa mojawapo ya sifa za kiongozi mzuri ni yule anayefuata miiko ya kazi.mojawapo ya miiko au ethics za kazi ni kuyatazama mambo kwa uhalisia wake au facts na kuyashughulikia kwa mujibu wa sheria na taratibu rasmi zilizopo.ni jambo lisilotakiwa hata kidogo kwa kiongozi kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hisia au motives.Huyu bwana nilimsema huko nyuma kuwa alitoa amri ya kuvunja nyumba Morogoro road kwa kutumia sheria iliyopitwa na wakati hadi Pinda alipoingilia kati.leo hii anafanya kitu kinachofanana na hicho na mengine mengi yaliyowahi kuandikwa humu kama vile kuwakomoa watu ambao hawakumpigia kura kule jimboni kwake.sasa hizi kama sio emotions na motives ni nini?nasema tena mtawapamba wee watu wenu humu lakini sie tunawajua nani mzuri nani mbaya,kamwe mtu anayependa sifa hafai kuongoza watu kwa sababu anaongozwa na hisia na motives!
 
Huyo HANS POPE ni -------- tu, kama wakigoma wagome wao, hata hivyo malori kutoka nje yanaendelea na safari. Na nyinyi munompa kichwa na kumsifia HANS POPE ni wapuuzi tu, inawezekana hamumujui magufuli. Ngoja niwape mfano mdogo wa mjinga mmoja aliyekuwa na kiburi na dharau kama HANS POPE jinsi magufuli alivyo mfanya kitu mbaya.....

Kuna jamaa mwarabu mmoja anaitwa Zakheimu alikuwa mkandarasi mkubwa sana hapa nchini, siku moja wakandarasi wakaandaa mkutano na magufuli akaalikwa kama mgeni, kilichotokea ni kwamba MAGUFULI alichelewa kufika kwenye mkutano, MAGUFULI alipofika kwenye mkutano yule ZAKHEIMU akamfuata MAGUFULI na kuanza kumtukana nanukuu "yaani waziri mzima unachelewa kwenye mkutano sikutegemea kama waziri unaweza kuwa na akili ya ajabu kiasi hiki na hatukutaki tena kwenye mkutano" Magufuli akamjibu ZAKHEIMU nanukuu "wewe mwarabu unatoa wapi jeuri ya kunitukana mimi waziri tena wewe ni mgeni ndani ya hii nchi, sasa tutaona, nahakikisha kuanzia leo kampuni yako haipati kandarasi au tender yoyote labda ya kutengeneza bara bara za mtaa, labda mimi sio magufuli nakuapia" tokea hapo mpaka leo kampuni ya ZAKHEIMU imekufa na nasikia siku hizi ZAKHEIMU ameamua kuokoka. Zamu ya huyo kibaraka HANS POPE inakuja, kumbukeni magufuli haonei mtu bali anasimamia sheria na ndicho kinachotakiwa kwa kiongozi bora "utawala wa sheria"

Mbona umeandika utumbo? Kwani hiyo sheria inayoruhusu 5% tolerance kaitunga Hanspope? Kama kipenzi chako Gufuli anasimamia sheria basi alitakiwa kusimamia hii iliyopo na sio kuleta ya kwake. Labda hujui sheria haitungwi na mtu mmoja(waziri). Hakafu mfano wako huo wa kitoto wa huyo mwarabu kunyimwa kandarasi unasaidia nini nchi!! Huo ni ubabe tu ulitumika ambao wewe unaita ndio utawala bora wa sheria!!!!
 
Ukitaka kumwuzi mswahili basi tunga sheria au weka utaratibu na uusimamie. Magufuli gangamala na sis tusiokuwa na malori tupo nyuma yako. Hao wafanyabiashara wasikupande kichwani. Kikwete na Pinda wasikuingilie tena kwenye majukumu yako. Ukisafiri kwa basi kila wakifika kwenye mizani wanahamisha abiria, kwanini? Kaza buti baba, asiyetaka ahame nchi.
 
Ati mlala hoi anajenga barabara, kwa kitu gani? mlala hoi hata kodi ya mtaa tu halipi. Barabara hizi zinajengwa na mlipa kodi na wenye magari ambao kwa kila lita moja wanayonunua wanalipa shs 238.00 ambazo zinakwenda kwenye barabara sasa ni hawa hawa wanaolipa ndio huyu waziri anawakejeli ili mtu kama wewe usyejua mchango wao kwa utaifa umpe kura yako akigombea urais ambao anautaka. Cheap popularity na wewe maskini ya Mungu hujui utampa kura. wenye malori wanataka afuate sheria iliyopo ambayo yeye anataka kuibadilisha kinyemela

Hii si kweli ndugu. Mfanyabiashara analipa kodi anapofanya biashara. Ila mwananchi ili aishi atanunua bidhaa kama chumvi,samaki,mafuta, ambapo atalipa kodi ndogo ya hizo bidhaa. Kwa hiyo wakiwa ni watanzania milliin20 wamelipa kodi kwa kununua bidhaa,tuchukulie kodi ya Tsh100, kwa bidhaa hizo ndogo tu kwa siku, utakuta tayari ni billion2. Kwa hiyo wananchi wanamchango mkubwa tu kwenye kodi.
 
Mimi nashindwa kuwaelewa hao wasafirishaji kama hawataki kulipa faini kwanini wazidishe mizigo..? na waendelee kumwogopa Maguful yaan wao wafanye ujinga ujinga wazir awachekee tuu..?
 
=> Hans Pope ni --------....mjinga asiye kuwa na nywele kichwani....very arrogant.....kuwa na malori asije kudhani yuko juu ya sheria......akapark malori yake kwake na mke wake...shit Hans pope....

Nenda kamuone Daktari kichwa chako kinapata moto unatema mapovu
 
Ili tujenge uchumi imara ni bora

1.Zoezi la mizani liendelee,lakini ni vema pia serikali ikaagiza
mizani mipya ya kisasa itakayo kuwa na link ya pamoja.

2.Pawepo na systems maalum itakayo-monitor mizani yote nchi.

3.Sheria zile ambazo wananchi wanahisi kwamba ni mbaya ni
bora wakaziwasilisha kunako vyombo husika kwa ufafanuzi.

4.Kuwepo na kiwango maalumu/uangalizi/ukaguzi makini sana
wakati wa ujenzi wa barabara kwani nao unaweza kuwa tatizo
kubwa kuliko vile tunavyofikiria.

Kama hali ikiendelea hivi ni kweli kabisa uchumi wetu utaharibika sana,
lakini pia wale ambao leo wanatetewa na mh. Waziri hali yao itakuwa
ni mbaya sana.

Lakini pia ni jukumu letu sote kujenga uchumi pasipo kuwahujumu wengine
na hapa ndipo sheria inatakiwa kufuatwa bila woga.
 
Nakubaliana na wewe sana. Anaongea kwa kumdharau saba Magufuli. Na mimi pia nimejiuliza sana hii jeuri yake abaitoa wapi? Ni kweli Magufuli kwa mtazamo wangu ni kionhozi wa wasi wasi ambaye kapata bahati ya kukubalika sana, lakini si rahisi kumdharau hivi mbele ya kadamnasi mtu kama yeye ambaye wengine wamefikia hadi kumpendekeza agombee urais
Dawa ya moto ni moto. Dawa ya dharau za magufuli ni naye kudharauliwa. Mkuki kwa nguruwe kwa mgufuli mh mh mh mh mh!
 
Magufuli komaa tuu hawa matransportor wengi wao ndo huaribu barabara!
Kuna kila sababu ya kurevamp Reli zetu ili tupunguze matumizi ya barabara ambazo ni gharama kuzikarabati kuliko Reli!
Nimekuwa kwa transport sector kwa md kidogo najua rough wanazocheza matransporter kwa watu wa mizani imagine kuna watu wako kwa payroll za hawa matransporter ili magari yao yakiwa na overweight yawe yanapita tuu manwhile roads zetu zaendelea haribika
 
Ati mlala hoi anajenga barabara, kwa kitu gani? mlala hoi hata kodi ya mtaa tu halipi. Barabara hizi zinajengwa na mlipa kodi na wenye magari ambao kwa kila lita moja wanayonunua wanalipa shs 238.00 ambazo zinakwenda kwenye barabara sasa ni hawa hawa wanaolipa ndio huyu waziri anawakejeli ili mtu kama wewe usyejua mchango wao kwa utaifa umpe kura yako akigombea urais ambao anautaka. Cheap popularity na wewe maskini ya Mungu hujui utampa kura. wenye malori wanataka afuate sheria iliyopo ambayo yeye anataka kuibadilisha kinyemela
aisee, unahitaji shule kubwa sana ya kodi... hivi watu wanapolalamikaga pesa ya walipa kodi walala hoi inatumika vibaya wewe huwa unawaza hao walala hoi ni matajiri wakubwa. hivi hao kina hans pope wakilipa hiyo kodi kwenye mafuta unafikiri wanakubali kubeba hiyo hasara wao kama transport providers? bidhaa wanazobeba zinanunuliwa na nani? who is the final consumer wa chumvi, sukari, maharage, cement, vifaa vya ujenzi? hata kama wakibeba intermediate goods, je hizo goods zinatumika kutengeneza vitu gani...kama si final goods ambazo zinatumiwa na final consumers? wewe unafikiri kwa nini kwenye nchi nyingine bei za petroleum products zikiongezeka ni wananchi wa kawaida ndio wanaoandamana na kugoma? hivi unaweza kutoa hoja kawmba mwananchi wa kawaida halipi kodi?
sitaki kumtetea magufuli ila statement yako kwamba mlala hoi hajengi barabara imenishangaza sana. ni kwamba huna uelewa na hili au nawe ni mmoja wa wamiliki wa hayo malori so umejaa kiburi kama hansa popa na kuona walalahoi wote ni wajinga
 
Umefafanua vizuri sana kaka. Watu wengi wanafikiri kuwa kwa kuwa wafanyabiashara wakubwa wanauza bidhaa in bulk bas wao tu ndo wanamchango mkubwa kwenye kodi, hii siyo kweli. Bidhaa hizo lazima ziende kwa walaji ambao ni wananch wa kawaida, ambapo kila bidhaa ina kiwango cha kodi ndani yake.
 
Back
Top Bottom