Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5% tolerance iko kwenye Sheria, imewekwa kwa sababu logical Lori linaposafiri, with the bumps n.k mzigo hucheza, so ukipima mikese hutopata same reading ukipima mikumi n.k ukija kupima iringa
Alipokurupuka Mhe. Maghfuli kwa kutokujua or uwanasiasa akasahau kuwa hiyo 5% tolrence ipo katika Sheria zake za barabara.
So argument ya Hans Poppe ikawe je madereva/wamiliki wa malori wawe wanatembea na hiyo extract from Sheria ili wakifika mzani wawaonyeshe hao wapima mzani kuwa Sheria yao inaruhusu 5% tolerence?
Ndio maana malamiko yemekua mengi Sheria zipo ila ndio hazisimamiwa hata na hao wanaozitunga
Yeye anasema magufuli anachuki binafsi na transporters, mimi nasema yeye ana chuki binafsi na magufuli. Miezi kadhaa iliyopita alikuwa akihojiwa na kipindi cha television (sikumbuki kituo gani), jamaa aliyaongea hayahaya, tena kwa dharau na kebehi kubwa kwa magufuli utafikiri anamuongelea mtoto wake. Nilijiuliza sana huyu jamaa anapata wapi kiburi hiki? Nikahisi kuna nguvu nyuma yake na si bure!
Inawezekana jamaa ana hoja, lakini jinsi anavyowakilisha hoja zake inaudhi.
Simuungi mkono magufuli, lakini si vema pia mtu kuwasilisha hoja kwa dharau kwa waziri mwenye dhamana!
Kwa hiyo unataka kusema Magufuli alikuwa sahihi kuingiza hisia au ugomvi binafsi katika kazi? Mimi naona unasifia ujinga tu, kama Magufuli alikerwa na maneno ya Zakheimu alitakiwa amchukulie hatua kama mtu binafsi, na sio kama kampuni. Angeweza kumpeleka jamaa Polisi kwa kumdhalilisha, lakini kuingilia tenda za serikali ni kinyume na sheria za PPRA. Isitoshe kampuni hiyo inaweza ikawa na wabia wengine zaidi ya Zakheimu, kwa hiyo kuikomoa kampuni eti kwa kuwa umetukanwa na mmoja wa wabia sio haki. Kwa ufupi usiusifie ujinga hapo... Magufuli akamjibu ZAKHEIMU nanukuu "wewe mwarabu unatoa wapi jeuri ya kunitukana mimi waziri tena wewe ni mgeni ndani ya hii nchi, sasa tutaona, nahakikisha kuanzia leo kampuni yako haipati kandarasi au tender yoyote labda ya kutengeneza bara bara za mtaa, labda mimi sio magufuli nakuapia"
Huyo HANS POPE ni -------- tu, kama wakigoma wagome wao, hata hivyo malori kutoka nje yanaendelea na safari. Na nyinyi munompa kichwa na kumsifia HANS POPE ni wapuuzi tu, inawezekana hamumujui magufuli. Ngoja niwape mfano mdogo wa mjinga mmoja aliyekuwa na kiburi na dharau kama HANS POPE jinsi magufuli alivyo mfanya kitu mbaya.....
Kuna jamaa mwarabu mmoja anaitwa Zakheimu alikuwa mkandarasi mkubwa sana hapa nchini, siku moja wakandarasi wakaandaa mkutano na magufuli akaalikwa kama mgeni, kilichotokea ni kwamba MAGUFULI alichelewa kufika kwenye mkutano, MAGUFULI alipofika kwenye mkutano yule ZAKHEIMU akamfuata MAGUFULI na kuanza kumtukana nanukuu "yaani waziri mzima unachelewa kwenye mkutano sikutegemea kama waziri unaweza kuwa na akili ya ajabu kiasi hiki na hatukutaki tena kwenye mkutano" Magufuli akamjibu ZAKHEIMU nanukuu "wewe mwarabu unatoa wapi jeuri ya kunitukana mimi waziri tena wewe ni mgeni ndani ya hii nchi, sasa tutaona, nahakikisha kuanzia leo kampuni yako haipati kandarasi au tender yoyote labda ya kutengeneza bara bara za mtaa, labda mimi sio magufuli nakuapia" tokea hapo mpaka leo kampuni ya ZAKHEIMU imekufa na nasikia siku hizi ZAKHEIMU ameamua kuokoka. Zamu ya huyo kibaraka HANS POPE inakuja, kumbukeni magufuli haonei mtu bali anasimamia sheria na ndicho kinachotakiwa kwa kiongozi bora "utawala wa sheria"
Ati mlala hoi anajenga barabara, kwa kitu gani? mlala hoi hata kodi ya mtaa tu halipi. Barabara hizi zinajengwa na mlipa kodi na wenye magari ambao kwa kila lita moja wanayonunua wanalipa shs 238.00 ambazo zinakwenda kwenye barabara sasa ni hawa hawa wanaolipa ndio huyu waziri anawakejeli ili mtu kama wewe usyejua mchango wao kwa utaifa umpe kura yako akigombea urais ambao anautaka. Cheap popularity na wewe maskini ya Mungu hujui utampa kura. wenye malori wanataka afuate sheria iliyopo ambayo yeye anataka kuibadilisha kinyemela
=> Hans Pope ni --------....mjinga asiye kuwa na nywele kichwani....very arrogant.....kuwa na malori asije kudhani yuko juu ya sheria......akapark malori yake kwake na mke wake...shit Hans pope....
Dawa ya moto ni moto. Dawa ya dharau za magufuli ni naye kudharauliwa. Mkuki kwa nguruwe kwa mgufuli mh mh mh mh mh!Nakubaliana na wewe sana. Anaongea kwa kumdharau saba Magufuli. Na mimi pia nimejiuliza sana hii jeuri yake abaitoa wapi? Ni kweli Magufuli kwa mtazamo wangu ni kionhozi wa wasi wasi ambaye kapata bahati ya kukubalika sana, lakini si rahisi kumdharau hivi mbele ya kadamnasi mtu kama yeye ambaye wengine wamefikia hadi kumpendekeza agombee urais
aisee, unahitaji shule kubwa sana ya kodi... hivi watu wanapolalamikaga pesa ya walipa kodi walala hoi inatumika vibaya wewe huwa unawaza hao walala hoi ni matajiri wakubwa. hivi hao kina hans pope wakilipa hiyo kodi kwenye mafuta unafikiri wanakubali kubeba hiyo hasara wao kama transport providers? bidhaa wanazobeba zinanunuliwa na nani? who is the final consumer wa chumvi, sukari, maharage, cement, vifaa vya ujenzi? hata kama wakibeba intermediate goods, je hizo goods zinatumika kutengeneza vitu gani...kama si final goods ambazo zinatumiwa na final consumers? wewe unafikiri kwa nini kwenye nchi nyingine bei za petroleum products zikiongezeka ni wananchi wa kawaida ndio wanaoandamana na kugoma? hivi unaweza kutoa hoja kawmba mwananchi wa kawaida halipi kodi?Ati mlala hoi anajenga barabara, kwa kitu gani? mlala hoi hata kodi ya mtaa tu halipi. Barabara hizi zinajengwa na mlipa kodi na wenye magari ambao kwa kila lita moja wanayonunua wanalipa shs 238.00 ambazo zinakwenda kwenye barabara sasa ni hawa hawa wanaolipa ndio huyu waziri anawakejeli ili mtu kama wewe usyejua mchango wao kwa utaifa umpe kura yako akigombea urais ambao anautaka. Cheap popularity na wewe maskini ya Mungu hujui utampa kura. wenye malori wanataka afuate sheria iliyopo ambayo yeye anataka kuibadilisha kinyemela
aisee, unahitaji shule kubwa sana ya kodi... hivi watu wanapolalamikaga pesa ya walipa kodi walala hoi inatumika vibaya wewe huwa unawaza hao walala hoi ni matajiri wakubwa. hivi hao kina hans pope wakilipa hiyo kodi kwenye mafuta unafikiri wanakubali kubeba hiyo hasara wao kama transport providers? bidhaa wanazobeba zinanunuliwa na nani? who is the final consumer wa chumvi, sukari, maharage, cement, vifaa vya ujenzi? hata kama wakibeba intermediate goods, je hizo goods zinatumika kutengeneza vitu gani...kama si final goods ambazo zinatumiwa na final consumers? wewe unafikiri kwa nini kwenye nchi nyingine bei za petroleum products zikiongezeka ni wananchi wa kawaida ndio wanaoandamana na kugoma? hivi unaweza kutoa hoja kawmba mwananchi wa kawaida halipi kodi?
sitaki kumtetea magufuli ila statement yako kwamba mlala hoi hajengi barabara imenishangaza sana. ni kwamba huna uelewa na hili au nawe ni mmoja wa wamiliki wa hayo malori so umejaa kiburi kama hansa popa na kuona walalahoi wote ni wajinga