Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi

Haiwagi hivyo mkuu, jifunze upya
 
Jamaa ametoa wazo zuri sana, lakini mi tatizo ni mfumo wa hii nchi umekaa kwa kumnyonya masikini zaidi ya alienacho.
Mtanzania ni kama punda, bila bakora haendi.

Unaweza ukampa msamaha wa kodi, hela akaiona nyingi akaanza kulewa na mademu.
 
Iwe chini ya 1M asikatwe kodi maana mtu wa salary ya laki 6 hapo akikatwa mengineyo tu anarudi na laki 4 na kiduchu
 
Apewe maua yake!
 
watanzania ni wajinga sana eti wanachekelea yeye kuzungumza huo ujinga

hawa watu wanaumia sana roho nchi ikikua kiuchumi lengo lao si serikali kujimudu na watu wake huyu china angenyongwa kwa ujinga aliozungumza mbele ya viongozi wa serikali kwa ufupi ni adui kiuchumi kwa taifa na amulikwe

mtu anazungumza kuwe na wanaolipa kodi na wengine wasilipe kodi na watu wanaona anawatakia mema, ndio mana ilikua raisi sana kwa afrika kutawaliwa na na hii jamii

kwa ufupi kazungumza upuuzi wa hali ya juu usio na afya kwa taifa linalotaka kusonga mbele
 
Acha wehu,umemsklza?!
 
We ni mjinga…laki 5 ikatwe kodi ila milion 200 za wabunge hazikatwi kodi wala mishahara ya marais wenu hakuna kodi..
 
Kwa hiyo jamaa katuona sie mambususu tuu
 
Na serikali itafanya hivyo pia kwa waajiriwa wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…