Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Haiwagi hivyo mkuu, jifunze upyaSio kwamba jamaa anajitetea yeye? Mfano alikuwa akikulipa 500,000 wewe unachukua 400,000 halafu 100,000 inakuwa kodi. Wakisema chini ya 500,000 haina kodi anaanza kuwalipa watu wake 400,000 tu.
Wewe unapata 400,000 yako ile ile na yeye anaokoa 100,000 akiwa na wafanyakazi 100 hio ni 10m kwa mwezi savings.