Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kachanganya vinjwaji,Safari lager,kvant,cuca Konyagi Lazima zipandane!Kanye West alianza hivihivi, kama ndugu zako wanaona unayoweka mitandaoni wakukimbize hospitali.
Chemical zimepanda!Nikupe namba ya dokta wa Mirembe?
Kachanganya vinjwaji,Safari lager,kvant,cuca Konyagi Lazima zipandane!
Sio kila king'aacho ni dhahabuKanye West alianza hivihivi, kama ndugu zako wanaona unayoweka mitandaoni wakukimbize hospitali.
Legacy yangu itadumu miaka 1000 mpaka 2000Kila baada ya muda jf inapata Don nalimison mwengine!
Hata mnidhihaki vipi huo ndo ukweli hakuna mtu mwenye akil kunizidi kwa karne hii ya 21Jiran Binti Sayuni03 na huyu tunaomba umuonganishe kwenye ile Tiba ya kaka ako.
Kaka ako anadhuru watu ila huyu anadhuru Ubongo wake mwenyewe.
Tukikuwahi wewe unapona!Legacy yangu itadumu miaka 1000 mpaka 2000
Unanchekesha sana ila sio kosa lakoTukikuwahi wewe unapona!
Wewe tema nyongoTangulia Mirembe - Dodoma tutakukuta huko