Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

Moderator naomba msifute uzi wangu sio kosa kisheria kusema mimi naakili na hakuna anayenizid hapa duniani kwa hii miaka 100 hakuna mtu yeyote ambaye nimemkejeli au kumtukana
View attachment 3326243

Kufuta uzi wangu ni sawa na mtoto kusema ntakuja kuwa Rais alafu unampiga makofi

Ila Tanzania hapana aisse
Idea without plan, action and implementation is USELESS. You can have million of IDEA but you dont know how to implement them.

Ila kaka bado naamini ukiwahiwa utapona ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom