Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

Mwamba anataka kuhuisha (activate) manyota makubwa yaliyozimika na kuwa blackholes baada ya kuishiwa Hydrogen na Helium. Nakubali. Hakuna mwingine mwenye akili kama hizi. Mkuu upewe tu maua yako 👏

Ahsante kwa kushiriki tena mchango wako ni muhimu
 
Ahsante kwa kushiriki
"Denee" umekuwaje masta, shuleni ulikuwa ni mtu mpole ,mnyenyekevu usiye na makuu, mstaarabu na nadhifu pia.

Tumesoma wote O-level (Umbwe Secondary),

Nakumbuka kuna siku tuko pale DH(Dinning Hall) tulikuwa tunapima urefu Mwalimu Shoo alikuja akakuchapa fimbo ya sikio ulikuwa hujapanga mstari au tatizo ndio lilianzia pale??? Sio kwa kukudhihaki lakini mkuu.
 
"Denee" umekuwaje masta, shuleni ulikuwa ni mtu mpole ,mnyeyekevu usiye na makuu, mstaarabu na nadhifu pia.

Tumesoma wote O-level (Umbwe Secondary),

Nakumbuka kuna siku tuko pale DH(Dinning Hall) tulikuwa tunapima urefu Mwalimu Shoo alikuja akakuchapa fimbo ya sikio ulikuwa hujapanga mstari au tatizo ndio lilianzia pale??? Sio kwa kukudhihaki lakini mkuu.
Pamoja sana umenikumbusha mbali sana
 
HAKUNA MTU MWENYE AKILI KUNIZIDI
downloadfile-2.jpg
 
Back
Top Bottom