Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #101
AHSANTE KWA KUSHIRIKIHuyu jamaa tukimuwahi atapona kweli?😆
AHSANTE KWA KUSHIRIKIHuyu jamaa tukimuwahi atapona kweli?😆
Upeo wako ni mdogo kwa hiyo siwezi kukulamuWeka digits zako za bank tuone hapa ,akili bila pesa ni kama mavi ya mbuzi tu bwana mdogo
Huna pesa hauna akili fullstop .africa huwa tunaonekanaga viazi sio kwamba hatuna akili ni kwamba hatuna pesa.Upeo wako ni mdogo kwa hiyo siwezi kukulamu
Hayo uliyoyasema hayanipungizii kituHuna pesa hauna akili fullstop .
Sitaki kukupunguzia kitu ila ukwel ndio huo japo ni mchungu, vumilia halafu kamata vyeti vyako nenda VETA bwashee.Hayo uliyoyasema hayanipungizii kitu
Kama ningekuwa na hasira nisingefika hapa nyuzi nilizoanzisha nimetukanwa na kudhihaki lakin wanaofanya haya ni wajingaSitaki kukupunguzia kitu ila ukwel ndio huo japo ni mchungu, vumilia halafu kamata vyeti vyako nenda VETA bwashee.
Mkuu nyuzi zako zote ni nzuri mno ila hii umechemka na ukweli wa sasa ndio huo nimeshakupa gademiiitKama ningekuwa na hasira nisingefika hapa nyuzi nilizoanzisha nimetukanwa na kudhihaki lakin wanaofanya haya ni wajinga
Usitafute kushinda kwa mambo ambayo hayana kichwa wala miguu umeniambia mimi mjinga na sina fedha wewe imekusaidia nini hasa???
Ukimaliza kutema nyongo utaendelea na shughuli zakoMkuu nyuzi zako zote ni nzuri mno ila hii umechemka na ukweli wa sasa ndio huo nimeshakupa gademiiit
Alafu unajiona umeongea pointMnao comment Kwa threads zake ndo mna mpoteza huyu angeachwa Tangu mapema nadhani hii stage hasingefikia.
Kama Una akili Sana tukupe kitengo pale udsm utufundishie wadogo zetu unaonaje?
Nyogo ipo wapi hapo unaongea mashudu yako tunyamaze tu , Thibitisha kuwa wewe una akili kubwa kuliko mtu yeyote duniani?Ukimaliza kutema nyongo utaendelea na shughuli zako
Anayo akili ya kuwa motivesheni spika labda.Naomba buku tajiri
Nakuelewa bro! Lakn akili inauwanda mpana ili upate hicho unachokitaka lazima uspecify wapi unapotaka u baseJambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli
Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
View attachment 3326231
Hawa ndo wanafanya serikali wazuie kitu bangi ambayo huwa haina shida ila ikitumiwa na mazuzu kama hayaAnayo akili ya kuwa motivesheni spika labda.
Uthibitisho wa kwamba yeye ana akili kuliko mtu yeyote duniani hakuna ,mtu akishaweza kuongea kitu huko kwenye vilabu vya wanzuki akakubalika anaona kila mtu ni kiazi.Hawa ndo wanafanya serikali wazuie kitu bangi ambayo huwa haina shida ila ikitumiwa na mazuzu kama haya
Bora hata huyo chief anaweza kuthibitisha hata kwa macho.Another chief GODLOVE.