min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Akiweke hapa kila mtu akioneUSiangalie sura au munekano angalia anachojisifia nacho
Akiweke hapa kila mtu akioneUSiangalie sura au munekano angalia anachojisifia nacho
Sikuthibitishii na huna cha kunifanyaSihitaji kukupunguzia kitu Thibitisha unachokisema na sio blabla tu.
Sio lazima nikuwekea we nani mpaka nikuwekee sikuwekeiAkiweke hapa kila mtu akione
Hawezi maana ni freemanson anatakiwa aunganishe watu kama watatu ndio aonyesheAkiweke hapa kila mtu akione
Sihitaji cha kukufanya bwana mdogo , weka ushahidi hapa kuwa wewe una akili na utajiri kuliko mtu yeyote duniani kama huna hizo ni hadithi tu na ngonjera .Sikuthibitishii na huna cha kunifanya
Wewe dhihaki wewe ukichoka utaenda kukojoa alafu utalala
Waafrika mnasafari ndefu sana kifikra sio kosa lenu mtafika lakiniHawezi maana ni freemanson anatakiwa aunganishe watu kama watatu ndio aonyeshe
Siweki acha ziwe ngonjera mfano zikiwa ngonjera inapunguzia niniSihitaji cha kukufanya bwana mdogo , weka ushahidi hapa kuwa wewe una akili na utajiri kuliko mtu yeyote duniani kama huna hizo ni hadithi tu na ngonjera .
Kuhusu wewe kunishauri nikojoe ,situmiagi hiyo kitu mkuu.
Lakini si kweliWaafrika mnasafari ndefu sana kifikra sio kosa lenu mtafika lakini
Punguza pressure bwana mdogo ukiweka blabla zako huku ni mali yetu na sio yako tena hauwezi kuthibitisha sio vibaya pia.Sio lazima nikuwekea we nani mpaka nikuwekee sikuwekei
SiwekiPunguza pressure bwana mdogo ukiweka blabla zako huku ni mali yetu na sio yako tena hauwezi kuthibitisha sio vibaya pia.
Kaweka videonSihitaji cha kukufanya bwana mdogo , weka ushahidi hapa kuwa wewe una akili na utajiri kuliko mtu yeyote duniani kama huna hizo ni hadithi tu na ngonjera .
Kuhusu wewe kunishauri nikojoe ,situmiagi hiyo kitu mkuu.
Kwa ufreemansonWote mnakaribishwa
Hazinipunguzii kitu bwana mdogo huu uzi ni mali yetu naujadili nipendavyo wewe vuta punzi ndani achia taratibu utarudi kwenye hali yako ya kawaida tu bwashee.Siweki acha ziwe ngonjera mfano zikiwa ngonjera inapunguzia nini
Sawa jitulize sasaSiweki
Wewe akili kwa akili zako , Mimi huwa nadhani ni DoniNamloson aka Deo Kisandu
🚮🚮 mganga njaa tu huyu hiyo sura yake ni utajiri wa kuzidi dunia nzima ? Au anafikiri dunia nzima ni huko kishumundu?Kaweka videon
Na wewe mpaka upataje kishimundu kwenu?🚮🚮 mganga njaa tu huyu hiyo sura yake ni utajiri wa kuzidi dunia nzima ? Au anafikiri dunia nzima ni huko kishumundu?