Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli

Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
View attachment 3326231
TANGU DAY ONE NILIONA WATU WANAKUSHANGAA NIKAJIA TU WENGI WALIOKISHANGAA WALIKUWA WAJINGA KAMA. ULIVYO.

MTU AMBAYE ANAPATA MAARIFA KUTOKA KWENYE VITABU NA KUJA NA VISEORI AMBAVYO HAVIPO KWENYE UHALISHIA HUWA NAMWONA KAMA MJINGA TU.

UNAWEZA PONGANA NA MZUNGU AMBAYE AMEKUFANYA UJUE DUNIA NI SIFERE NA KUKUAMBIA JUA NI MKUSANYIKO WA NYOTA NA MWENZIO ANAENDA HADI ANGANI WAKATI WEWE UPO NYAMIKOMA NA HUJAWAHI FIKA HATA NYAMADOKE.
 
Umeandikia kwa herufi kubwa ili kukazia kazia
 
Toka kwenye ukuta wa shemeji yako wewe, shemeji kakupa bando unatutambia
 
Back
Top Bottom