Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #181
Mimi ndo mtu mwenye akili kuliko mtu yeyote kwenye karne hiiToka kwenye ukuta wa shemeji yako wewe, shemeji kakupa bando unatutambia
Mimi ndo mtu mwenye akili kuliko mtu yeyote kwenye karne hiiToka kwenye ukuta wa shemeji yako wewe, shemeji kakupa bando unatutambia
Sana mkuu hongera sana kwa hiloMimi ndo mtu mwenye akili kwenye karne hii
Sana mkuu hongera sana kwa hilo
Sasa ndugu unaakili za nini?
Tuonyeshe matokeo ya akili zako basi!!
Ndugu zako wakuwahishe MirembeNakaribisha maoni, na ukosoaji naamini vitansaidia ila havitabilisha ukweli kwamba mimi ni mtu mwenye akili kuzidi wote kwa karne hii
View attachment 3326271
Huyu ndo kaka yakeJiran Binti Sayuni03 na huyu tunaomba umuonganishe kwenye ile Tiba ya kaka ako.
Kaka ako anadhuru watu ila huyu anadhuru Ubongo wake mwenyewe.
kama hii ndiyo miaka 100 ya kwanza ya duniaJambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli
Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
View attachment 3326231
Haya mambo yapo juu ya uwezo wakoNdugu zako wakuwahishe Mirembe
Kichaa kimekuanza ukiwa umri mdogo pole
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli
Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
View attachment 3326231
Ahsante kwa kushiriki unakaribishwa tenaKisandu Jr iz back
Ahsante kwa kushiriki unakaribishwa tenaWahi Mirembe Hosp ASAP, otherwise, ugonjwa wako wa akili utapitiliza level ya treatment..!!
Kwanini MkuuWahi hospital tafadhali..Muhimbili wana kitengo pia
Kuna shida ya akili inaendeleaKwanini Mkuu