Kichaa huyuModerator naomba msifute uzi wangu sio kosa kisheria kusema mimi naakili na hakuna anayenizid hapa duniani kwa hii miaka 100 hakuna mtu yeyote ambaye nimemkejeli au kumtukana
View attachment 3326243
Kufuta uzi wangu ni sawa na mtoto kusema ntakuja kuwa Rais alafu unampiga makofi
Ila Tanzania hapana aisse
Unaa kili sana mpka kuandika huwezi. Daah enewei jinius umegundua nn mpaka muda huu mkuu??Unanchekesha sana ila sio kosa lako
Ushafanya nn so far!?Hata mnidhihaki vipi huo ndo ukweli hakuna mtu mwenye akil kunizidi kwa karne hii ya 21
Na bangi pia amevutaKachanganya vinjwaji,Safari lager,kvant,cuca Konyagi Lazima zipandane!
Inawezekana!Na bangi pia amevuta
Embu tupe idea namna ya kukiondoa chama cha mambuziNapenda sana kuona watu wanavyoporomosha dhihaka
Mwezi mchanga umetoka Nini?!Sio kila king'aacho ni dhahabu