Duuh! Wewe unanitia nguvu kwamba nijitwalie hii nyumbakuna ndugu yangu alikiwa mfanyabiashara mkubwa wa mazao, kuna mkoa alienda katika shughuli zake sehemu ya faida alinunua kiwanja ambacho kilikuwa na msingi teyari.
Kwa bahati mbaya makabidhiano ya nyaraka muhimu hayakukamilika ila kwakuwa alikuwa na uhakika akawa amefuata mzigo mwingine.
Aliporudi mkoai ilipo familia yake akawapa hiyo taarifa kuwa kuna kiwanja kanunua mkoa fulani wilaya flani na jinsi kilivyo,
Wakati anajipanga ili kupeleka mzigo tena kwenye ule mkoa akapatwa na maradhi na hayakumchukua siku nyingi akawa amefariki na story ya hicho kiwanja ikaisha kwa namna hiyo.
Umewajengea majini waishi humo?Mimi Nina nyumba miaka 5 sijawahi kwenda na ilikamilika haishi mtu yeyote!
Kwanini hujafikiria kuwa Mwenye nyumba yupo nje ya inchi? Umefikiria kuwa kafariki au yupo jela?
..km ni wa kiume je?! mtake radhiWewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Kwa hiyo siku hizi tumeanza kuokota hadi nyumba?Saaafiiii!Si muda naamini tutaanza kuokota magari na vichwa vya treni upya.InshaAllah!🙏Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipiga kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadhria ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Mkuu hizi ni zama za kula kiulaini mfano kubet, kudanga, umarioo, nk. Habari kuchanganya zege utoke jasho haipo tena. Mashine za kuchanganya zege zitafanya kazi gani? Matrekta ya kylimia na combine harvester zitanya kazi gani?Akili za vijana wa sasa wapenda kitonga...
Tafuta Hela kijana...
Hapana. Unataka kusema nn kuhusu waha?Bila shaka wewe ni muha
NifahWewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Hukusikia pale bandari ya DSM kulikuwa na vichwa vya treni havina mwenyewe. Magari 277 yalikosa mmiliki.Kwa hiyo siku hizi tumeanza kuokota hadi nyumba?Saaafiiii!Si muda naamini tutaanza kuokota magari na vichwa vya treni upya.InshaAllah!🙏
Alishasema hana jinsia, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa...km ni wa kiume je?! mtake radhi
Wow! Sijui kesho niamkie ofisi za ardhi??Sheria ya Ardhi inatambua umiliki wa 'adverse'.
Iwapo unaitwaa nyumba/ardhi na kuitawala kwa miaka 12 bila kuhojiwa na mwenye mali na bila ruhusa yake, basi inadhaniwa kwamba nyumba ni kwako.
Na baada ya hiyo miaka 12 kupita, halafu akaja mtu kudai inabidi atoe uthibitisho kwamba ni yake.
Nililizingatia hilo.Na ndiyo maana napiga dua njema tuanze tulipoishia.Hukusikia pale bandari ya DSM kulikuwa na vichwa vya treni havina mwenyewe. Magari 277 yalikosa mmiliki.
Wanapenda kuishi nyumba zisizo zaoBila shaka wewe ni muha
Sasa hapo utaharibu.Wow! Sijui kesho niamkie ofisi za ardhi??
Masters gani hiyo ya miaka 10? Na hukuacha hata ndugu/rafiki mmoja huku wa kuja hata kupaangalia?Npo huku Copenhagen 2025 namaliza masters narudi mzee usiingie takuja nikuchimbe kinyesi phallar ww