Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Ubinafsi, ubinafsi wa baadhi ya wanaume, hawataki wanawake wafurahie Mali..
 
Dunia ni ya Mungu, na kilicho ndani yake pia ni cha Mungu. Mwanadamu yeye ni wa kupita tu, ikitokea amepita na hakuna alierithishwa mali yake, watarithi wanadamu wenzake. Hakuna eneo litakaa milele kwa kudhaniwa kua hili eneo ni la mtu flani ambae hatumjui na hatufahamu kaenda wapi wala anaishi wapi na kwamba hatuwezi kulichukua.

Huyo haipo, dunia hii tunaishi kitambo kidogo na tutaiacha waishi wengine.

Okota hiyo nyumba iendeleze. Na unaweza enda ardhi kutoa taarifa kua huna makazi na haoo jirani kuna nyumba haina mtu mwaka wa 10 sasa. Nao watakupa mwongozo nn cha kufanya.
 
Mi niko ndani nakuona tu ukiangalia angalia na kumeza mate.
Subutu uingie ndio utajua ahera ikoje, hutatoka.
 
Achague moja; ama aende Ardhi ikachukuliwe na wengine(haswa maafisa ardhi) ama asiende ardhi ili aweze kuimiliki iwapo mwenyewe hatokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…