KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kwani hujui binadamu ataifanyia repair hiyo nyumba,usafi na vitu vyengine vingi tofauti ikiwa hakuna mtu...Hivi kwanin nyumba isipokaliwa na watu inachakaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujui binadamu ataifanyia repair hiyo nyumba,usafi na vitu vyengine vingi tofauti ikiwa hakuna mtu...Hivi kwanin nyumba isipokaliwa na watu inachakaa?
DuhWewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Rudi kanisome tena kwa umakini, majibu yote yako ktk hiyo post.Haya nijibu na swali langu niyeye yuleyule au...??
Na ukamuamini na kuenenda nalo nchi za ng'ambo?mbona kuna mtu alishaokota nyumba mbweni na alileta uzi wake humu
HongereniRudi kanisome tena kwa umakini, majibu yote yako ktk hiyo post.
Otherwise, utasubiri hadi siku niseme kwa uwazi.
Ingia tu mkuu utolewe bikra na viumbe visivyoonekana.Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We ni mwizi
Inachakaa.Hivi kwanin nyumba isipokaliwa na watu inachakaa?
Ulimuua rafiki yakoMwaka 2009 tulienda na rafiki yangu Bunju kununua Viwanja,tukaanza kujenga mdogomdogo lakini rafiki yangu (RIP)alijenga fasta ikabaki kupaua tu(kumbuka wote tulikuwa mabachela). Siku moja anatoka site akapata ajali Tegeta(aligongana na Lori),alifariki palepale. Huyu rafiki yangu tulikuwa tumepanga nyumba moja Sinza(yeye Chumba chake,mimi changu lakini sebule,jiko nk tunashea. Tangu tunanunua Viwanja mpaka anafariki hakuna aliyewahi kumpeleka site ndugu,rafiki wala jamaa. Hivyo nyumba niliiokota kwa style hiyo,niliipaua,nikaifanyia finishing na sasa nakula Kodi. Lakini kwa kuwa tulikuwa tumeshibana sana hivyo huwa najitajidi kuwatumia Pesa Wazazi wake Moshi kila mwezi,na wamekuwa kama Wazazi wangu na wananiita mwanao.
SWALI KWA NINI SIKUIPA TAARIFA FAMILIA HIYO?huyu Marehemu rafiki yangu ndie aliyekuwa amesoma kwao,Kaka na Dada zake wote ni wale waleviwalevi waliojichokea tu,hivyo kama ningetoa taarifa naamini wangeshauri nyumba iuzwe tu wapate Pesa ya kunywea pombe. Tangu niikamilishe mwaka 2011 mpaka leo nakula Kodi tu,Hati nilishaipata kwa jina langu na maisha yanasonga.
Sio nyumba tu ata wewe usipokoga miaka 2...tunakusahauHivi kwanin nyumba isipokaliwa na watu inachakaa?
Aiseee
Humo wanaishi majini.Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Mtoto mdogo huyu hawezi kuelewa.Mtu kajifugia zake majini ww unahoji
Pole sana.Hzo ni hadithi tu tafuta mtu Jf nzima kama kuna aliyekutana na jini ata mmoja nakupa Mia.
Usikalili kijana,majini yanakaa sehemu tofauti tofauti kuanzia jalalani, chooni, kwenye miti mirefu, baharini nkMajini hayakai mahala pachafu
we huoni au wakati the bold amejichukulia jimbo bidada alipotea kabisa jfIla JF jamani loooh