cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Atapigwa makofi had aongee kilugha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utashangaa kuna watu wanaishi humo ila wewe huwaoni. Jichanganye
Haswaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kajifugia zake majini ww unahoji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kuokota nyumba mkuu? Kuwa makini, unaweza kuta mwenye nyumba anakuzoom tu.
Kaa mbali nadhulimatiiiKuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyumba kama hiyo ambayo imeshakamilika lakini haikaliwi na watu kwa muda mrefu,,
Mara nyingi inakuwa na majini ndani au viumbe wa ajabu humo ndani.
Usije ukaingia kichwa kichwa utaishia kutafunwa bila kilainishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nauona kabisa uzi wako mwingine wa badae ukiwa na heading “Nilivyopelekewa moto kisa kuvamia nyumba za watu” haha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas.Segerea ipo nyumba kama iyo tena yenyewe ni ghorofa moja ina fensi na kila kitu ila ndio ivyo amna anayeishi ni kusafi muda wote..madalari na uroho wao wote wamesanda kwenye iyo nyumba amna anayeishobokea..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nauona kabisa uzi wako mwingine wa badae ukiwa na heading “Nilivyopelekewa moto kisa kuvamia nyumba za watu” haha
Hao hawajuii, kuna nyumba wazungu walipigwa na misukulee tena wanaambiwa waongee kiswahili fasaha.[emoji1787][emoji1787]
Nyumba za namna hiyo ni hatari sana mkuu
Aisee!!Hao hawajuii, kuna nyumba wazungu walipigwa na misukulee tena wanaambiwa waongee kiswahili fasaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshamba huyo hajui mimi pia nilishachukua kiwanja kwa staili hiyo walikuja vijana wenye eneo baada ya dingi yao kuvuta nilishajenga..eti walinunua laki tatu mwaka 2001. Hawana hata hati wamekuja na kimkataba kilishanyewa na mende mm nikatoa hati wakafunga mdomo wakaondoka be capitalist in life hakuna huruma.Haoana si mwizi maana nikifuata taratibu
Na kama mmiliki angekuwepo angekuwa ameshakuja huu ni mwaka wa 21 sasa
Hata kamq nisingekipata mimi angepewa mtu mwingime baada ya wa kwanza kushindwa kukiendeleza
Mkuu haki ya mtu haipotei bure,,Mshamba huyo hajui mimi pia nilishachukua kiwanja kwa staili hiyo walikuja vijana wenye eneo baada ya dingi yao kuvuta nilishajenga..eti walinunua laki tatu mwaka 2001. Hawana hata hati wamekuja na kimkataba kilishanyewa na mende mm nikatoa hati wakafunga mdomo wakaondoka be capitalist in life hakuna huruma.