Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Kuna nadharia mbili hapa.

1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.

2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.

Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Kaa mbali nadhulimatiii
 
Nyumba kama hiyo ambayo imeshakamilika lakini haikaliwi na watu kwa muda mrefu,,
Mara nyingi inakuwa na majini ndani au viumbe wa ajabu humo ndani.


Usije ukaingia kichwa kichwa utaishia kutafunwa bila kilainishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Segerea ipo nyumba kama iyo tena yenyewe ni ghorofa moja ina fensi na kila kitu ila ndio ivyo amna anayeishi ni kusafi muda wote..madalari na uroho wao wote wamesanda kwenye iyo nyumba amna anayeishobokea..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas.
 
[emoji1787][emoji1787]

Nyumba za namna hiyo ni hatari sana mkuu
Hao hawajuii, kuna nyumba wazungu walipigwa na misukulee tena wanaambiwa waongee kiswahili fasaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haoana si mwizi maana nikifuata taratibu
Na kama mmiliki angekuwepo angekuwa ameshakuja huu ni mwaka wa 21 sasa
Hata kamq nisingekipata mimi angepewa mtu mwingime baada ya wa kwanza kushindwa kukiendeleza
Mshamba huyo hajui mimi pia nilishachukua kiwanja kwa staili hiyo walikuja vijana wenye eneo baada ya dingi yao kuvuta nilishajenga..eti walinunua laki tatu mwaka 2001. Hawana hata hati wamekuja na kimkataba kilishanyewa na mende mm nikatoa hati wakafunga mdomo wakaondoka be capitalist in life hakuna huruma.
 
Kuna kiwanja kilikaa miaka mingi sana bila muhusika kuonekana mzee wangu akawa anaotesha mahindi/maharagwe.

Ile kufikiria tu namna ya kufanya ajitwalie mazima, alitokea mzee (mmiliki) na kijana wake (mwl) kukamkabidhi kiwanja hicho na ujenzi ukafuata upesi 😃😃
 
Mshamba huyo hajui mimi pia nilishachukua kiwanja kwa staili hiyo walikuja vijana wenye eneo baada ya dingi yao kuvuta nilishajenga..eti walinunua laki tatu mwaka 2001. Hawana hata hati wamekuja na kimkataba kilishanyewa na mende mm nikatoa hati wakafunga mdomo wakaondoka be capitalist in life hakuna huruma.
Mkuu haki ya mtu haipotei bure,,

Dhulumu vyote ila sio ardhi.
 
Fanya hivi hama mtaa nenda mbali kabisa tafuta fundi wa funguo chongesha kisha pangisha..... hakikisha siku ya kupangisha mpangaji hajui kwako ....pia majirani wale wasikuone ukiwa unaipangisha..... ukiona miezi sita imepita hakuna soo pangisha tena

Mtu atayekutwa humo ndo atakuwa na kesi ..... weee umekula kodi na hufahamik unakaa wapi

A win is a win
 
Back
Top Bottom