Alichotaka kutoka kwako ni andiko kutoka ktk dini yako wewe unayoiamini lisemalo Adam + Abraham ni wa dini ya ukristo. Mpe andiko akome kabisa.Kwa nini tukiamini kitabu cha dini yako kama ndio ukweli wa historia halisi??
Wewe mtaalam wa afya ya akili, hebu tuambie kwa akili yako Yesu alikua Mkristo?Kuna muda huhitaji kwenda short course kuelewa changamoto ya afya ya akili, maana hata kuwazia vitu ambavyo sio kweli nayo ni mojawapo
Huwezi kusema alikuwa dini hiyo ilhali kitabu na mtume husika alikuja kushuka baadae sana
Ila dah
1) Sisi tunajifuza kwa Yesu kama alivyosema, sasa kama yeye hakubatiza na unajifunza kwake, huko ulimwenguni unaenda kubatiza kwa mafundisho ya nani wakati yesu ndie mwalimu?Yesu alisema enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi MKIWABATIZA kwa jina la
Hakufundisha kubatiza?, kwani hujui yeye alibatizwa? Huo utaratibu upo tangu kale na ndio maana Yohana Mbatizaji alikuwa anatoa huduma hiyo1) Sisi tunajifuza kwa Yesu kama alivyosema, sasa kama yeye hakubatiza na unajifunza kwake, huko ulimwenguni unaenda kubatiza kwa mafundisho ya nani wakati yesu ndie mwalimu?
2) Yesu kasema mbatize kwa jina la baba la mwana na roho mtakatifu, lakini kwakua hakufundisha kubatiza ndio maana mnabatiza kwa maji, ndivyo Yesu alivyo sema?
3) Ubatizo ni kupata ondoleo la dhambi, Yesu kasema watoto hawana dhambi, wale watoto wabatizwao wametenda dhambi gani?
Kumbe unajuwa kwanini umeniuliza jibu sasa?Basi waite hivyo maana ndio majina yao.
Ibrahim alikuwepo kabla ya Yesu Kristo kuzaliwa, Mtume Muhammad alizaliwa miaka 570 baada ya Yesu Kristo. Dini ya Kiislamu ilianzishwa na Mtume Muhammad aliposhushiwa Quran Tukufu. Sasa iweje Ibrahim awe Muislamu wakati huo hii dini ilikuwa haipo kabisa. Huo Msikiti lilikuwa ni Hekalu. Waislamu walipokuwa wanaeneza dini yao kwa upanga walipora majengo ya Wakristo.Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.
Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.
Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.
View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq
Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.
Kwa 7bu umesema wengine wanamuita majina mengineKumbe unajuwa kwanini umeniuliza jibu sasa?
Kama Uislamu haukuwepo kwa uelewa wenu, mbona hamsemi Ibrahimu alikuwa dini ganitofauti na hiyo ya Uislamu?Ibrahim alikuwepo kabla ya Yesu Kristo kuzaliwa, Mtume Muhammad alizaliwa miaka 570 baada ya Yesu Kristo. Dini ya Kiislamu ilianzishwa na Mtume Muhammad aliposhushiwa Quran Tukufu. Sasa iweje Ibrahim awe Muislamu wakati huo hii dini ilikuwa haipo kabisa. Huo Msikiti lilikuwa ni Hekalu. Waislamu walipokuwa wanaeneza dini yao kwa upanga walipora majengo ya Wakristo.
Rejea vita vya Ottoman wa Uturuki.
Shida sio yesu kubatizwa. Yesu alisema tujifunze kwake. Usichokijua kwa msaada zaidi...Hakufundisha kubatiza?, kwani hujui yeye alibatizwa? Huo utaratibu upo tangu kale na ndio maana Yohana Mbatizaji alikuwa anatoa huduma hiyo
Wamefanya nini?Yesu vs Mudi
Mkuu katika bandiko lako you have very valid concerns.Kama umeshawahi kusoma Quoran you must have noticed something,it contradicts itself,it is all lies.Even it's believes contradicts core human values and morality.Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.
Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.
Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.
View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq
Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.
Uislam ni fix mkuu,mwana wa Mungu wa kweli ana jua.Biblia inasema wazi,asie na mwana hana Mungu.Kama hiyo dini ilikuwepo toka enzi za Adamu basi Majini yasinge silimu.
Maana yaliumbwa ili yamwabudu Allah. Na yalikuwepo kabla ya Adamu.
Sasa yalikuwa yanamwabudu katika taratibu za dini ipi nyingine ?
Yaani Majini yalikuwa yanamwabudu Allah kwa dini ipi kabla ya Muhamadi na kwanini yaje kusilimu tena baada ya Muhammadi ?
Na tunaambiwa siku zote kuna majini mema na mabaya hata kabla ya Muhamadi.
Ni Fix hizo
Mkuu mbona Uislam ni fix.Infact mimi nawashangaa sana Waislamu,because it is so clear.Yaani Shetani amewapumbaza na kuwapofusha kiasi kwamba hata uwape ukweli ulio wazi kiasi gani,hawazinduki.Look here,the Bible says kila amkanaye mwana hana Baba,so ni wazi hawana Mungu.Kama hiyo dini ilikuwepo toka enzi za Adamu basi Majini yasinge silimu.
Maana yaliumbwa ili yamwabudu Allah. Na yalikuwepo kabla ya Adamu.
Sasa yalikuwa yanamwabudu katika taratibu za dini ipi nyingine ?
Yaani Majini yalikuwa yanamwabudu Allah kwa dini ipi kabla ya Muhamadi na kwanini yaje kusilimu tena baada ya Muhammadi ?
Na tunaambiwa siku zote kuna majini mema na mabaya hata kabla ya Muhamadi.
Ni Fix hizo
Ishu ni kuwa Waarabu walijisikia vibaya sana walipo ona mitume wote ni Waisraeli.Mkuu mbona Uislam ni fix.Infact mimi nawashangaa sana Waislamu,because it is so clear.Yaani Shetani amewapumbaza na kuwapofusha kiasi kwamba hata uwape ukweli ulio wazi kiasi gani,hawazinduki.Look here,the Bible says kila amkanaye mwana hana Baba,so ni wazi hawana .
1 Yohana 2:23
23 Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.
Na Katika Yohana 14:6 neno la Mungu linasema,
Yohana 14:6
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
So ni wazi kwamba Muislam asipogeuka,akatubu na kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi was maisha yake,jibu liko wazi,ni straight kwenye jehanamu ya moto,it is as plain as that.
Very sad situation.Ishu ni kuwa Waarabu walijisikia vibaya sana walipo ona mitume wote ni Waisraeli.
Ukiisoma Qurani yote wahusika wote ni Wayahudi isipokuwa Muhammadi wakati imeandikwa Uarabuni Maka.
Muhamadi alipobashiriwa kuwa mtume na Padri Mwisraeli Mkatoriki Waraqa Bin Naufal, Waarabu walifurahi sana kupata mtume wa Kabila lao Mwarabu.
Wayahudi na Wakristo walipo enda Maka kuhakikisha kuwa Muhamadi ni mtume wa Mungu wao waliona kuwa hana sifa za kuwa Mtume.
Waarabu walimkubali tu Muhammadi bila ya kumhoji ili kumpima kama ni Mtume kamili kwakuwa walichofurahi wao ni Kumpata mtume wa Kabila lao.
Hadi hii leo Uarabuni ukidiriki kumhoji Muhammadi adhabu yake ni Kifo tu.
Kiujumla Uislamu uligeuka kuwa Utamaduni wa mwarabu na ni marufuku kuukana wala kuhoji.
Ndio unaona kwenye Qurani Wayahudi na Wakristo wanatajwa kuwa ni maadui pekee wa Uislamu.
Ndio maana Magaidi wakigundua wewe ni Mkristo au Myahudi ni wa Kichinjwa tu.
Wa imani nyingine kama Wahindu na Wabudha, Freemasonry, Momonis nk, wao hawana madhara kwa uislamu na wanaheshimiwa katika Uislamu.
Hivyo Uislamu kuwa kama Utamaduni, basi Mwislamu yeyote analazimika kuutetea kwa hali na mali, kwa ukweli na uwongo, kwa zawadi au kwa kutoa roho ya mtu.
Kuuhama uislamu adhabu yake ni Kifo tu.
Ndio maana unawaona hivyo, wanalazimika kuwa hivyo.